Kwanini Diamond Platnumz amemtenga mwanaye aliyezaa na Hamisa Mobetto?

Kwanini Diamond Platnumz amemtenga mwanaye aliyezaa na Hamisa Mobetto?

Kumzini ,kumtumia jinsi anavojiskia yeye halafu baadae anamtukana kwenye mitandao na familia yake
Hamisa alikua mpuuzi mda wowote Daimond alikua akimtaka anamgonga muda wote ,saa yoyote
Kwani alilazimishwa kugongwa? Diamond alitaka mbususu hamisa alitaka fame Ndio Maana hamisa alivujisha picha za mondi akiwa na yeye tangu hapo ndio tukajua walikuwa wanadate huwa siwaelewi nyie wanawake mnavyotumia vibaya neno "anatumika" sema walitumiana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi itakua kweli wanakulana ntu na mama ake, khaaaah
Wanaweza wasilane ila ule wivu ty kuona km wanawake Wana faidi vile ...
Enzi za Mapenzi ya Wema Mondi bi Sandra kawafarakanisha mnoo...zile off and on ya kuingia Peny,Jokate,Wolper, Uwoya hao wote walikua wanaishi wanaachwa anarudiwa wema Maza alivoona mwanawe Yuko obsessed na wema naona akafanya yake mazima ndo akampata Zari na hawakurudiana Tena
Yaani hofu yake ni Mali tu
 
Ila shost mtoto kafanana na bill nengaa bhanaaa
Ikabidi nirudi kuchunguza bwana macho ya Naya ,Dylan ,nenga na Simba plus mwili [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]shoga wafanye tu DNA...lolote laweza tokea
Siku hizi Sina timu miyee
 
Kwani alilazimishwa kugongwa? Diamond alitaka mbususu hamisa alitaka fame Ndio Maana hamisa alivujisha picha za mondi akiwa na yeye tangu hapo ndio tukajua walikuwa wanadate huwa siwaelewi nyie wanawake mnavyotumia vibaya neno "anatumika" sema walitumiana
Alimpenda ukimpenda mtu unakua Teja kama yeye Simba alivompenda Wema alikua anaachwa anarudiwa wewe mpk muda wa kutoka ulipofika alitoka
 
Mitandao ya kijamii bado hujaijua, kwani wengi wanakuonyeshea wanachotaka ukione kile ambacho hawataki hawa kuonyeshei.

Wema,Anti,Wolper walikuwa na wanaume wenye hela,kila siku kutrend kwenye mitandao, sasa hivi wa nini.

Trend na show off za wadangaji, huwaga ni za mda baadae atakaa juu ya mawe.Kwani wengi wao hawana akili ya utafutaji, hawana nidhamu ya kutunza hela,wanawaza mashindano na matumizi ya vitu vya kipuuzi.
🤝🤝
Nashangaa sn ambao eti Wana amini Hawa watu!
Tupo hapa tutafutane baada ya miaka kuanzia 5
 
Kaka umeongea kishabiki hadi sijaamini kama ni wewe. Kwanini umeiita “obsession “ na sio mapenzi? Sisi kama watz haturuhusiwi kumchagua wa kumpenda regardless ni mtz au sio mtz?

Halafu what again? Anawadharau watz ukimaanisha na bibi na babu yangu walioko kitinku? Come on? Sema anawadharau na kuwatukana wanao mtukana. Thats very fair, Zari anajidefend mwenyewe, anawatukana wanaomtukana sababu hawezi nyamaza, our own Hamisa akitukanwa anaenda kumwambia Mange anamsaidia kuchamba/kutukana sababu yeye amesema hawezi gombana ila anaweza kutafuta wa kumsaidia ugomvi! Kwahiyo futa hiyo waTz tunadharauliwa na Zari, sote kwa pamoja? No!!!!
Khaaaa nimeshangaa
Eti anawadharau watz ,how?
Hapana kwakweli
 
Alimpenda ukimpenda mtu unakua Teja kama yeye Simba alivompenda Wema alikua anaachwa anarudiwa wewe mpk muda wa kutoka ulipofika alitoka
Sasa mbona unaruka hoja yako yakuonesha hamisa anatumika? Sasa hivyo ulivyoeleza Ndio kutumika? Mbona uzungumzii hamisa kufuata umaarufu na pesa za mondi?
 
Coz

Watoto wote wanajua Mama zao,lakini baba Huwa tunaonyeshwa,halafu uhusiano mzuri wa baba na mtoto unategemea mahusiano mazuri ya mama na baba,

Uhusiano wa baba na mama ukifa na uhusiano wa baba na mtoto Huwa wa kulazimisha coz hisia za Mama kuhusu baba wa mtoto ndizo atakazoambukizwa mtoto!!

Kifupi mapenzi yakifa na uhusiano wa baba na mtoto hufa!!!

Ndio wanaume wenye akili Huwa hawategemei makubwa toka kwa mtoto ambae uhusiano na mama yake ulishakufa na wakihudumia huyo mtoto ni sawa na kutoa sadaka kanisani ukitegemea Mungu tu ndio akubariki na sio kupata matunda ya mtoto ambae uhusiano na mama yke ulikufa!!!


Hivyo tu!!
Point murua kabisa,
Hii comment ilipaswa kua Uzi rasmi
 
Amejitahidi kwa mda gani? Hivi trend ya wadada wadangaji wa intagram huzijui, kwani Wema ilikuwaje na yule jamaa waIkulu,mpaka kafunguliwa kampuni ya production then ikawaje......? Wolper na yule dogo muuza Poda........? Anti nae...........?

Issue mimi hapa ninayo zungumzia continuity nadiscipline ambayo wadangaji hawana,husizuzuke na hiki unacho kiona leo.Kwa kifupi wandangaji maisha yao 99% ni fake na wengi hawana akili ya maisha wala nidhamu ya maisha ,sababu hawana akili ya kutafuta kwa kitumia jasho na akili.

Ukimuona binti katoboa sababu ya kudanga jua danga lilimkuta ktk harakati za udangaji au alikuwa na idea ya biashara ila alikosa mtaji,mfano Ritha na mara nyingi huwaga sio wa kubadilisha madanga mara kwa mara. Kuna mama mmoja wa kinyakyusa ana bonge la shape,alilipata danga kwenye kamgahawa chake,leo hii yule mmama ana kampuni kubwa na mapishi ya chakula na maduka matatu ya jumla ya vinywaji

Hao niliwataja walianzisha biashara ngapi leo zipo wapi? na ndio maana maisha yao wanategemea kubadilisha madanga sababu hawana akili ya maisha,hivi huyo Hamisa duka lake la Mnyamala lipo wapi?

Point yangu wengi huwaga hawaifikiri kesho.
Umeandika ukweli mtupu,hasa hapo ulipoandika kuwa wadada wengi wadangaji wanaoendelea,ni kwamba labda wawe na biashara au idea ya biashara,ila hawana mitaji,hivyo akipata danga limpush kwa kumpa mtaji... nimeshuhudia hiyo kwa dada mmoja mtaani kwetu,alikua ana idea ya biashara,ila hakua na mtaji,kapata danga,ni injinia,kamuwezesha,sasa hivi dada kawa na maisha mazuri,biashara yake iko vizuri.
 
Sasa mbona unaruka hoja yako yakuonesha hamisa anatumika? Sasa hivyo ulivyoeleza Ndio kutumika? Mbona uzungumzii hamisa kufuata umaarufu na pesa za mondi?
Kaka mabishano kama tuko kwenye mashindano siwezi
Simamia unachoamini namie nisimamie nnachoamini!!!
 
Back
Top Bottom