Kwani alilazimishwa kugongwa? Diamond alitaka mbususu hamisa alitaka fame Ndio Maana hamisa alivujisha picha za mondi akiwa na yeye tangu hapo ndio tukajua walikuwa wanadate huwa siwaelewi nyie wanawake mnavyotumia vibaya neno "anatumika" sema walitumianaKumzini ,kumtumia jinsi anavojiskia yeye halafu baadae anamtukana kwenye mitandao na familia yake
Hamisa alikua mpuuzi mda wowote Daimond alikua akimtaka anamgonga muda wote ,saa yoyote
😂😂😂0kaliwa na Rick Rose asbh asbh jamaa kapost psketi ya kondomu
Ndo chanzo Cha ushoga wa nandy na Missa kufaWalipitiana wakati mtoto akiwa mkubwa tayari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaweza wasilane ila ule wivu ty kuona km wanawake Wana faidi vile ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi itakua kweli wanakulana ntu na mama ake, khaaaah
Kwa Sasa Yuko vzr kiasi chakeHamissa yuko mbaliii mnooo kufananishaa na vidampa wenziee.
Labda mke mwenza Lulu kuolewa na majooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ikabidi nirudi kuchunguza bwana macho ya Naya ,Dylan ,nenga na Simba plus mwili [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]shoga wafanye tu DNA...lolote laweza tokeaIla shost mtoto kafanana na bill nengaa bhanaaa
Alimpenda ukimpenda mtu unakua Teja kama yeye Simba alivompenda Wema alikua anaachwa anarudiwa wewe mpk muda wa kutoka ulipofika alitokaKwani alilazimishwa kugongwa? Diamond alitaka mbususu hamisa alitaka fame Ndio Maana hamisa alivujisha picha za mondi akiwa na yeye tangu hapo ndio tukajua walikuwa wanadate huwa siwaelewi nyie wanawake mnavyotumia vibaya neno "anatumika" sema walitumiana
Nakubali jaguar hapana kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee labda kwa bill nengaa at least itakubalika, ila kwa Jaguar hapana bhana.
Na ye akakubali kutafunwa kimyaa kimyaila billnass alikuwa anamtafuna hamisa Kimya Kimya ,chini chin kama ngwea....watoto WA kinondoni sio poa ...[emoji23][emoji23]
🤣🤣Huyo mtoto ambaye anafanana na billnass ama?
Duh kumbeBillnass kishasema hausiki
🤝🤝Mitandao ya kijamii bado hujaijua, kwani wengi wanakuonyeshea wanachotaka ukione kile ambacho hawataki hawa kuonyeshei.
Wema,Anti,Wolper walikuwa na wanaume wenye hela,kila siku kutrend kwenye mitandao, sasa hivi wa nini.
Trend na show off za wadangaji, huwaga ni za mda baadae atakaa juu ya mawe.Kwani wengi wao hawana akili ya utafutaji, hawana nidhamu ya kutunza hela,wanawaza mashindano na matumizi ya vitu vya kipuuzi.
Khaaaa nimeshangaaKaka umeongea kishabiki hadi sijaamini kama ni wewe. Kwanini umeiita “obsession “ na sio mapenzi? Sisi kama watz haturuhusiwi kumchagua wa kumpenda regardless ni mtz au sio mtz?
Halafu what again? Anawadharau watz ukimaanisha na bibi na babu yangu walioko kitinku? Come on? Sema anawadharau na kuwatukana wanao mtukana. Thats very fair, Zari anajidefend mwenyewe, anawatukana wanaomtukana sababu hawezi nyamaza, our own Hamisa akitukanwa anaenda kumwambia Mange anamsaidia kuchamba/kutukana sababu yeye amesema hawezi gombana ila anaweza kutafuta wa kumsaidia ugomvi! Kwahiyo futa hiyo waTz tunadharauliwa na Zari, sote kwa pamoja? No!!!!
Sasa mbona unaruka hoja yako yakuonesha hamisa anatumika? Sasa hivyo ulivyoeleza Ndio kutumika? Mbona uzungumzii hamisa kufuata umaarufu na pesa za mondi?Alimpenda ukimpenda mtu unakua Teja kama yeye Simba alivompenda Wema alikua anaachwa anarudiwa wewe mpk muda wa kutoka ulipofika alitoka
Point murua kabisa,Coz
Watoto wote wanajua Mama zao,lakini baba Huwa tunaonyeshwa,halafu uhusiano mzuri wa baba na mtoto unategemea mahusiano mazuri ya mama na baba,
Uhusiano wa baba na mama ukifa na uhusiano wa baba na mtoto Huwa wa kulazimisha coz hisia za Mama kuhusu baba wa mtoto ndizo atakazoambukizwa mtoto!!
Kifupi mapenzi yakifa na uhusiano wa baba na mtoto hufa!!!
Ndio wanaume wenye akili Huwa hawategemei makubwa toka kwa mtoto ambae uhusiano na mama yake ulishakufa na wakihudumia huyo mtoto ni sawa na kutoa sadaka kanisani ukitegemea Mungu tu ndio akubariki na sio kupata matunda ya mtoto ambae uhusiano na mama yke ulikufa!!!
Hivyo tu!!
Umeandika ukweli mtupu,hasa hapo ulipoandika kuwa wadada wengi wadangaji wanaoendelea,ni kwamba labda wawe na biashara au idea ya biashara,ila hawana mitaji,hivyo akipata danga limpush kwa kumpa mtaji... nimeshuhudia hiyo kwa dada mmoja mtaani kwetu,alikua ana idea ya biashara,ila hakua na mtaji,kapata danga,ni injinia,kamuwezesha,sasa hivi dada kawa na maisha mazuri,biashara yake iko vizuri.Amejitahidi kwa mda gani? Hivi trend ya wadada wadangaji wa intagram huzijui, kwani Wema ilikuwaje na yule jamaa waIkulu,mpaka kafunguliwa kampuni ya production then ikawaje......? Wolper na yule dogo muuza Poda........? Anti nae...........?
Issue mimi hapa ninayo zungumzia continuity nadiscipline ambayo wadangaji hawana,husizuzuke na hiki unacho kiona leo.Kwa kifupi wandangaji maisha yao 99% ni fake na wengi hawana akili ya maisha wala nidhamu ya maisha ,sababu hawana akili ya kutafuta kwa kitumia jasho na akili.
Ukimuona binti katoboa sababu ya kudanga jua danga lilimkuta ktk harakati za udangaji au alikuwa na idea ya biashara ila alikosa mtaji,mfano Ritha na mara nyingi huwaga sio wa kubadilisha madanga mara kwa mara. Kuna mama mmoja wa kinyakyusa ana bonge la shape,alilipata danga kwenye kamgahawa chake,leo hii yule mmama ana kampuni kubwa na mapishi ya chakula na maduka matatu ya jumla ya vinywaji
Hao niliwataja walianzisha biashara ngapi leo zipo wapi? na ndio maana maisha yao wanategemea kubadilisha madanga sababu hawana akili ya maisha,hivi huyo Hamisa duka lake la Mnyamala lipo wapi?
Point yangu wengi huwaga hawaifikiri kesho.
Ila huyu wa pili ni kweli ni wa IvanIkaenda mtoto wa pili, huyu ndio kabisa wakasema ni wa Ivan,
Kaka mabishano kama tuko kwenye mashindano siweziSasa mbona unaruka hoja yako yakuonesha hamisa anatumika? Sasa hivyo ulivyoeleza Ndio kutumika? Mbona uzungumzii hamisa kufuata umaarufu na pesa za mondi?
Kwa hyo diamond kapigwa watoto wawiliIla huyu wa pili ni kweli ni wa Ivan
I rest my case.