Kwanini Diamond Platnumz amemtenga mwanaye aliyezaa na Hamisa Mobetto?

Kwanini Diamond Platnumz amemtenga mwanaye aliyezaa na Hamisa Mobetto?

Dada wa taifa lenu ni nani mi simjui, kuhusu hapo nilipobold ni kwamba, Zari akiwa umri wa Hamisa hopefully miaka 32-34 alikuwa na Mume, watoto, biashara za nguo na vito, alishaendesha magari unayoyajua wewe “most of them”, alikuwa ameshasafiri nchi mbalimbali (kama hili pia ni fanikio). Mengine yote kuhusu Hamisa, uko sahihi.

I hope utaelewa kuwa tunajadili hii mada katika mitazamo tofauti [emoji1635]
Zari AMEISHI bwana twende mbele turudi nyuma
Amekula maisha kiukweli kweli Ivan alijua kumspoil mweee
 
Diamond hawezi kukataa mtoto sio rahisi kwa matajiri kukataa mtoto hususani Diamond hana ndoa watoto wote kazaa nje ....Yule Hamisa anazaa na matajiri ili apate chochote kile kama alivyozaa na majizzo .

Diamond inasemekana kuna walakini maana DNA za bongo ni utapeli na alitak kwenda south alikataa eti mtoto anadhalilishwa kupimwa DNA...yule mwanamke angekuwa labda ana uhakika wasingepelekana mahakamani
.. Diamond na Hamisa wote vicheche na hakuna mtu anamuamini mwenzie.


Mfumo anatumia kuzaa na matajiri ajiandae tunawajua jamii fulani ambayo kaoa huyo Majizzo watakuja kusumbuana kweny urithi ..
0kaliwa na Rick Rose asbh asbh jamaa kapost psketi ya kondomu
 
Mama ake naseeb naye si alikuwa malaya malaya tu? Ametudhihirishia baada ya kumbadilishia baba mwanae ukubwani, anachomfanyia yule mtoto haoni kama kuna shida maana ndo maisha ameyaishi
Ila pale alijua kujidhalilisha kaahh...halafu Wala haikukiki naona wenyewe walijua wamechemka....aseehh
Yule mama Mungu amuongoze njia sahihi kabla ya kifo chake
 
Domo kwa nafasi yake hawezi kuoa leo wala kesho,hata huyo mama akifariki,wasanii wasanii huwa wanazaa hovyo...ukiona msanii anauwezo ameoa huyo ameona atulie tu...burnaboy mama yake ndio kila kitu chake,unategemea yule ataoa au ataishia kuzalisha tu
Hawezi oa
 
Kuna kipindi alifikia hatua ya kuona huyo tiffah ataharibu kiingereza chake maana watanzania hawajui kiingereza kama "president" Wao, imagine mkuu

Uzuri huyo mwanamke anajua bila Tz au Diamond asingepata hiyo influence maana kabla ya hapo, alikuwa socialite tu mwenye pesa zilizochangiwa na Ile gang ya Ivan. Hakuwa na hiyo popularity hata Uganda na kwanza huko hawapo obsessed nae kama huku ndio maana atafanya drama zote za Tz maana asipopewa attention huku, anajua fika hatopata pengine kwa same level
Duh baba ila unajuwa umbea au wee Ni mange nin
 
Ana hela, kitu ambacho kwa celebrities wetu haswa socilites kama wema,aunt , Uwoya au Wolper hawana ndio maana anaonekana kama mfano wa kuigwa. Hivyo tu
Kwan uongo? Hata East Africa enyewe labda atashindana na Akothee, wengine wote kawaacha mbali mnoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaka umeongea kishabiki hadi sijaamini kama ni wewe. Kwanini umeiita “obsession “ na sio mapenzi? Sisi kama watz haturuhusiwi kumchagua wa kumpenda regardless ni mtz au sio mtz?

Halafu what again? Anawadharau watz ukimaanisha na bibi na babu yangu walioko kitinku? Come on? Sema anawadharau na kuwatukana wanao mtukana. Thats very fair, Zari anajidefend mwenyewe, anawatukana wanaomtukana sababu hawezi nyamaza, our own Hamisa akitukanwa anaenda kumwambia Mange anamsaidia kuchamba/kutukana sababu yeye amesema hawezi gombana ila anaweza kutafuta wa kumsaidia ugomvi! Kwahiyo futa hiyo waTz tunadharauliwa na Zari, sote kwa pamoja? No!!!!
Napenda sana Zari akiwapa vidonge watu wanao muandamaa yaan ananikuna mnoo boss lady
 
Ukweli tuseme mabeto kajitahidi hata dada wa taifa alimwambia zari ulivyokuwa na umri wa mabeto ulikuwa na Nini? hiyo inaitwa bariki ubarikiwe, anatembelea Nini,? kapanda jet la kukodi kulifata ndinga la haja, Sasa hivi sio yule wa kwenda ustawi wa jamii, Mara kuvuliwa wigi limetupwa kwenye pool, Sasa hivi China , dubai, USA, mtoto mdogo, wazee tupo jf tunamjadili, mungu anaweza kumuinua masikini aliye shushuka live.
[emoji23][emoji23][emoji23] mobetto katusuaa bhana.
 
Hamisa kakubali wakafanye DNA popote atakapo Diamond ila TU iwe Public....shida sio diamond,shida ni mama Ake ,alimkataa Zari katu katu dada wa watu alijitoa weee akatafutwa hamisa azae na Mondi Ili Zari apoe,akapoa dada wa watu akaondoka,akaja Tanasha NAE kazalishwa kaachwa kijana wa Kiislamu anazalisha zalisha hovyoo hata kuoa hataki,Akaja Alia,Mara sijui Zuchu NAE hatakiwi anafosi TU
Wema enzi hizoo Yuko na Mondi aliwahu sema hila za yule mama,haoni shida Kuna kugonga saa nane usiku chumbani Kwa mwanawe wakati kalala na mwanamke
Nuksi yule bibi yaani ana roho ya Kiburundi kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi itakua kweli wanakulana ntu na mama ake, khaaaah
 
Huh! I didn’t know if it is this serious!!!! Again, uko biased 90% Yaani uko serious kum-paint everyone as innocent isipokuwa Zari. Why? Is it personal????? Kwamba hao watu wote Zari aliamua tu kuanza kuwaatack wao wakiwa kimya wametulia, I hope this is a joke.

Bahati nzuri mimi na wewe sote hatujachelewa kuja mjini, ni hivi Diamond kuanza kudate na Zari hakuna kati yao aliyeweka wazi wenyewe waliita “Project “ Zari hakuanza “kujishaua” kama unavyojaribu kutuaminisha hapa, alikuwa normal, anadate zake mtandale bila hili wala lile. Kesi zilianza kwa timu Wema kuanza kumuattack Zari, (kumbuka timu kajala ilikuwepo) ndiyo iliyokuja kumpa Backup Zari ikatengenezwa Strong hive “Timu Zari” na watandale wakiwemo humo nadhani lengo lao lilikuwa kumrusha roho Wema, Ndipo mwanzo wa maugomvi ya haya matimu.

It was funny and games until Ilivyosemekana Zari ana mimba, kwanza kuna watu wakakataa kuwa hana mimba at first, kwa kile kilichoitwa kuwa kaka yetu Simba la masimba [emoji3] hana uwezo wa kushikisha mwanamke ujauzito, mimba haijifichi miezi ikaenda stori ikabadilika kuwa mimba si ya Diamond bali ya Ivan, siku hazigandi mtoto akazaliwa ikasemekana mtoto wa Ivan, zikajiunga timu ya anti Diamond wa Bongo, na anti Zari wa Uganda kudai mtoto si wa Dai ni wa Ivan, You see?

Siku zinaenda fasta, picha ya mtoto ikapostiwa ni “our very own Wema” ikabambwa comment yake mahali akiwa amecomment “Mtoto ni mbaya” na pia tunaomba DNA !!!!! We ni mwanaume sitakuuliza ungekuwa mama Tifa ungereact vipi. I hope unaona sasa Why Zari started to slap back.

Ikaenda mtoto wa pili, huyu ndio kabisa wakasema ni wa Ivan, wakati kwa ground wadada wa bongo “hao wa insta” wakaanza kumuona Diamond mcharo kutaka kumzalia (usitake nikawataja majina), hao wote akina Huddah unadhani ugomvi wao na Zari ulitokea wapi, ikiwa mwanzo walijaribu kumfriend zone Zari ili wapate access kwa mtandale, which waliipata wakalambwa Zari kama mwanamke aliyekuwa kwa mahusiano na Dai akigundua kuna mtu kanizunguka why asifight? Mbona ni kitu kinaeleweka tu vizuri. Bora ye anatukana/chamba binafsi ningemfuata kumdunda kabisa hehe [emoji23]

Halafu comeon, Fantana? That was reality show, lazima kuwepo drama na mtu wa kuinstigate drama lazima apatikane, usiniambia hujui how these things work!

Kuhusu waganda kuhangaika nae au kutokuhangaika nae: kwanza lazima uelewe kati ya taifa lina shobo na ujinga Tz inaongoza Africa nzima, tuna muda wa kuwaintertain hawa insta celebs kwa viwango vya juu sana kiasi kwamba kila mtu akitaka umaarufu bongo inakuwa target kwake, its no different with Zari, halafu unasemaje waganda wana muignore wakati we umemjua before hajaja bongo? Nani alimpa hiyo fame kama sio hao waganda wenyewe? Ni vile tu nchi za wenzetu ziko tofauti, people are real busy, ukisikia msanii yuko mall hakuna mwenye ataenda kukusanyika kushangaa, hakuna mtu atamfata msanii AirPort kumpokea, again its no different with Zari.

Meanwhile in Bongoland, hata bodaboda wakigongana watu watajaa kushangaa, sijui nani yuko AirPort watu wataenda kumpokea, sijui msanii gani kaonekana mall watu wataacha manunuzi yao wakae kushangaa na kuomba picha, hakuna utofauti uliofanyika kwa Zari. There’s crowd for everyone in Bongoland.

Excuse my gazeti, nilikua najaribu kuweka narration kwa namna ninavyoielewa, by the way it is weekend [emoji1635]
Umemaliza kila kitu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijui sana kuhusu duka lake, lakini nadhani lipo na ameliupgrade.

Kuhusu kubadilisha mabwana unamaanisha nini? Si hata huku mitaani wasichana wanadate huyu wakiachana wanadate mwingine? Kwani ni tofauti na hao celebs?

And why you are betting kuwa after umaarufu wake hatokuwa na kitu? Kama ambavyo siku hazigandi hata na yeye naona akili zake hazijaganda, licha ya kudanga anapambana pia, videals havimkosi, shout out kwa manager wake yule mkaka nadhani ni brain behind her, I believe hadi umaarufu uje kupungua atakuwa pazuri.

Kama binti amekuwa na changamoto zake, lakini considered alikotokea, hayuko pabaya by now, si ana pakuishi? Gari? Biashara? Deals? Na vingine ambavyo labda hatuvijui. Mnataka awe na nini kingine.

My point was, kiakili usimpike chungu kimoja Hamisa na hao bongo muvi wengine.
Hamissa yuko mbaliii mnooo kufananishaa na vidampa wenziee.
Labda mke mwenza Lulu kuolewa na majooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jose bwana Duka la hamisa halipo mwananyamala mbona pale mobeto toto kids aliindoa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mwanzoni lilikua Kàribu na mabatini polisi pale pale Kuna karough road kanaingia mtaa Fulani hivi brother na nadhani Sasa hv Yuko makumbusho kama sikosei

Hamisa Sasa hv sio yule wa mwanzo aliyetaka kufukuzwa kisa Hana pango ya nyumba brother anajitahidi kama nyumba anayo,gari nzuri anayo
Hata kama anadanga baasi anadanga kiakili yaani hatumpati humu wengi tu kimaisha na hata hao wadangaji wengine
Kama hukosei.......? Mimi nimeliona kama sio mwaka jana mwishoni basi mwaka huu mwamzoni..... nimeona frem tu na nguo chache au may be alikuwa brand Ambassador wa Vunjabei.

Inawezekana ww ukawa na maisha mazuri yenye uhakika wa kesho yako kuliko yy,always socialite wanakuonyeshea kile wanachotaka utizame,ila kile ambacho hawataki ambacho hukioni hawawezi kukuonyesha sababu kinakuwaga opposite na kile walicho kionyesha.
 
Back
Top Bottom