Kwanini Diamond Platnumz amemtenga mwanaye aliyezaa na Hamisa Mobetto?

Kwanini Diamond Platnumz amemtenga mwanaye aliyezaa na Hamisa Mobetto?

cocastic ila mmemuangalia Mzee Abdul km kafanana nae pia au macho yangu mabovu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1]
 
Kwani dada wa taifa ambaye we humjui alimuuliza zari mwaka Jana au huu Basi, na habari zao tunazifatilia wapi mitandaoni tu, mi nachoandika si Kama naandika tu nimeona au kusoma mitandaoni tu, hiyo miaka unayosema wewe ya hamisa ni ya Sasa hivi, gari la mwanzo la zari na Ivan Toyota Corolla ( ndizi), na zamani alikuwa anaimba japo nyimbo zake zilibuma, huko kwao, mbona zamani mmewe alikuwa anajifanya mganga sauth walivyoenda kutafuta maisha, na husemi, ndo wakapata mitaji ya kufungua hivyo vyote walivyonavyo Sasa hivi, na nyumba sauth walikuwa hawana na mumewe walipanga, alivyokuwa na mond baada kujifungua tifa mond ndio kwenda kununua nyumba South, baada ya kuachana na mond kuwa na mabwana kuwapeleka pale chambachamba ya dada wa taifa, ndio kanunua nyumba yake na alivyonunua sauth alionyesha mitandaoni huyo zar, ,alafu mi sitafuti ushindi naandika kile kilichoandikwaga mitandaoni na vile walengwa wakihoji na waandishi wa habari wanavyojibu,na sipingi mawazo yako au ya mtu yoyote, sababu naweza kutosikia au kuona habari fulani na mwingine anaweza kujua na kuweka habari hapa na nikasoma na kujua sio kila siku utaingia mitandaoni, kwa hiyo huwezi kupata habari kila siku vingine vinatupita.
 
Ila pale alijua kujidhalilisha kaahh...halafu Wala haikukiki naona wenyewe walijua wamechemka....aseehh
Yule mama Mungu amuongoze njia sahihi kabla ya kifo chake
Mama hana adabu kabisa mimi ni mwanamke na ninazaa ila aisee siezi kaa nikafanya jambo kama hilo, mwanzoni alikuwa akipost picha yule mzee Abdul yuko na dai kama mwanae, afu kumbe ndo tuseme mzee Abdul alifanya wema sana kutunza damu isiyokuwa yake afu hawakushauriana na mwanae yule mama akajilipua kujidhalilisha, alihisi labda atapokelewa familia mpya, bahati mbaya wale nao hawana habari na huo uchafu uchafu khaaa aibu nikaona mimi
 
Na Ile kiki haikuvuma maana watu walimdharau sana yule bibi yaani alikosa haya kabisaa
Yule mama ni kumuombea tu umaarufu umemtia wazimu sana yaani Yuko tayari kufanya lolote Ili tu wakiki
Nilimuona ni mwehu kabisaa Toka hapo na sijamuamini Tena Mpk Leo na Ile dhambi itamla Maisha yote na Bora Ile familia walimpotezea mnoo
Mzee Abdul alisema tu km miye sio baba Ake baasi asitumie jina lake ,Kuna Siku alimtumia pesa yule Mzee na akampigia simu akashangaa sana
Yaonekana yule mama ndo mchawi karaba aseeh
 
Back
Top Bottom