Kwanini Diamond Platnumz anavaa msalaba?

Kwanini Diamond Platnumz anavaa msalaba?

Unaelewa msalaba ni nini?

Je, unajua kuwa asili ya msalaba siyo "Ukristo??"

Je, unajua kuwa YESU KRISTO hakubeba msalaba (+) bali alibeba nguzo (I)?

Je, unajua kuwa kanisa la KWELI la MUNGU halitumii "msalaba" maana asili ya msalaba (+) ni upagani?

Ukijua hayo hutaona ajabu kwa Diamond Platinumz kuvaa msalaba.
Acha uzwazwa
 
Masheikh, Masharif, Maustadh naombeni mje mtujuze, je kiutaratibu inakuaje pale muislam anapovaa msalaba? Au ni pambo tu halina ubaya?

Maana naona Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amekuwa na utaratibu wa kuvaa msalaba siku za karibuni ilhali yeye ni muislam.

View attachment 1851816
Kwanini kijana mdogo wa kiislam aliyezaliwa Tandale Nassib Abdul alijiita mijina ya kizungu DIAMOND PLATNUMZ?
 
Unaelewa msalaba ni nini?

Je, unajua kuwa asili ya msalaba siyo "Ukristo??"

Je, unajua kuwa YESU KRISTO hakubeba msalaba (+) bali alibeba nguzo (I)?

Je, unajua kuwa kanisa la KWELI la MUNGU halitumii "msalaba" maana asili ya msalaba (+) ni upagani?

Ukijua hayo hutaona ajabu kwa Diamond Platinumz kuvaa msalaba.
Ulimwona Yesu akibeba nguzo?

Hiyo maana ya msalaba kuwa upagani ulitoa wapi?

Kanisa la kweli ni lipi?

Naomba ujibu hayo kinagaubaga tafadhali ili tuendelee
 
Hizi dini hizi, sema wewe ndivo unavoamini na hiyo ndo kweli yako.
Mi naamini Yesu alibeba msalaba sio nguzo wala mti kama baadhi ya madhehebu yanavodai.

Mwisho.
Huyo ni Sabato masalia[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Swali gani hili la kipuuzi unatuuliza... We umeona cha ajabu kuvaa msalaba tu, vipi kuimba dini yake inamruhusu, hao wanawake anaozini bila kuoa...

Ifike muda mumuache na maisha yake tu, kuna uislam na muislam...
 
Mkuu kwani msalaba hauwezi kua mti?

BTW hoja zako ni za msingi na fikirishi hazipaswi kupuuzwa. Hii mada ilipaswa itengewe uzi wake ijadiliwe kwa mapana zaidi.

Hili jukwaa sio rafiki kwa mada kama hii
Nilikwisha andika uzi kama huu miaka 3 iliyopita na mods wakautupa kwenye jukwaa la Dini na huko ukakosa wachangiaji.
 
Ule msalaba wa Yesu aliobeba ulikaaje ,na kwanini Kama alama ya msalaba haimaanishi hivo kwanini makaburi ya waislam na wapagani na dini zingine hayawekwi msalaba ?
BWANA YESU hakubeba msalaba, alibeba "nguzo" . Soma comment yangu namba #31 nimefafanua kwa undani.
 
So ni sahihi kwasababu vitabu vyao vimesema au wote pamoja na vitabu vyao wamepotoka?
Wao wanafata vitabu vyao, ukisema wao na vitabu vyao wamepotoka basi uwe na ushahidi wa hilo pia.
 
Huyo ni Sabato masalia[emoji23][emoji23][emoji23]
Kikubwa usifanye mambo yatayokwaza wengine. Hizi dini bna mwisho wa siku kila mtu anamuona mwenzie ni muongo na amepotoka.

Mdau anasema maandiko ya kale na vitu ka hivyo, lakini hata hao wanaotumia misalaba wanayatumia hayo hayo maandiko ya kale na kutafsiri tofauti.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Masheikh, Masharif, Maustadh naombeni mje mtujuze, je kiutaratibu inakuaje pale muislam anapovaa msalaba? Au ni pambo tu halina ubaya?

Maana naona Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amekuwa na utaratibu wa kuvaa msalaba siku za karibuni ilhali yeye ni muislam.

View attachment 1851816
Bwana Nassib Abdul ana jina kikristo, anaitwa Gwajima, au nasema uongo ndugu zangu?
 
Mzee Nyange ambaye ni baba yake alikuwa ni paroko huko Same maeneo ya Miamba-Miamba
 
Ndo maana alikosa tuzo kwa kukiuka haki za binaadamu
 
Unaelewa msalaba ni nini?

Je, unajua kuwa asili ya msalaba siyo "Ukristo??"

Je, unajua kuwa YESU KRISTO hakubeba msalaba (+) bali alibeba nguzo (I)?

Je, unajua kuwa kanisa la KWELI la MUNGU halitumii "msalaba" maana asili ya msalaba (+) ni upagani?

Ukijua hayo hutaona ajabu kwa Diamond Platinumz kuvaa msalaba.

Son of Gamba👏
 
Back
Top Bottom