78Kuku
JF-Expert Member
- Mar 31, 2021
- 562
- 756
Acha uzwazwaUnaelewa msalaba ni nini?
Je, unajua kuwa asili ya msalaba siyo "Ukristo??"
Je, unajua kuwa YESU KRISTO hakubeba msalaba (+) bali alibeba nguzo (I)?
Je, unajua kuwa kanisa la KWELI la MUNGU halitumii "msalaba" maana asili ya msalaba (+) ni upagani?
Ukijua hayo hutaona ajabu kwa Diamond Platinumz kuvaa msalaba.