Kwanini Diamond Platnumz anavaa msalaba?

Kwanini Diamond Platnumz anavaa msalaba?

Anaevaa diamond kwanini unatuuliza sisi tutajuaje sasa?
 
Mkuu usishangae Huyo Mondi starehe zote kashafanya nae kama Muislam kaamua kuvaa ili asipitwe believe me hata marinda utakuta hana.
 
Kama hujui kitu ni bora ukae kimya kuliko kuandika pumba.

Vitabu vyote vya Agano Jipya viliandikwa kwa Kigiriki cha kale kinachoitwa Koine Greece. Ni kitabu kimoja tu kiliandikwa kwa Kiebrania nacho ni Waraka kwa Waebrania.

Huo "ukweli" unaouamini ndiyo upotoshaji wenyewe wa ibilisi, hicho kigiriki hakiwezi kubeba tafsiri ya mwanzo ya matukio ya kibiblia kwa kuwa lugha muhimu ya kibiblia Ni kiebrania ( Hebrew) na siyo kigiriki Cha Athens!
 
Duh..! Hicho Kigiriki kiliandikwa na Mgiriki gani unayemuamini kiasi hicho? Unajitoa ufahamu kama una solid proof za ukweli wa hizo hadithi za kale.
Kazi kweli kweli.
Kama hujui kitu ni bora uingie hata Google Search utapata majibu kuliko kubishania vitu usivyovijua.

Kwa ujinga huu milonao siyo bure mnadanganywa kirahisi sana na hayo makanisa yenu.
 
Nini kinakufanya utuaminishe kuwa unachosema wewe ndio facts?
Kama una akili ungeutafuta ukweli nje ya ninachokisema mimi na siyo kubishana bila hoja.

Facts zitabakia kuwa facts hata kama wewe hukubaliani nazo. Biblia yenyewe inakwambia wazi kabisa lakini bado unabishana nayo.
 
Galatians 3:13(ESV)
Christ redeemed us from the curse of the law by becoming a curse for us—for it is written, “Cursed is everyone who is hanged on a tree"
Thank you brother. The truth is there but people don't see it
 
Kama una akili ungeutafuta ukweli nje ya ninachokisema mimi na siyo kubishana bila hoja.

Facts zitabakia kuwa facts hata kama wewe hukubaliani nazo. Biblia yenyewe inakwambia wazi kabisa lakini bado unabishana nayo.
Nimekuuliza swali wewe moja unaniletea mashairi sijui ya gazeti gani.

Nini kinayapa ujasiri na ukweli maneno yako mpaka sisi tuyaamini?

Kwanini tuamini maneno yako?

Jibu kinagaubaga usilete viroja na maneno meeengi yaliyojaa mambo ya kutungwa tu
 
Kama hujui kitu ni bora uingie hata Google Search utapata majibu kuliko kubishania vitu usivyovijua.

Kwa ujinga huu milonao siyo bure mnadanganywa kirahisi sana na hayo makanisa yenu.
Kwanini unasmini kuwa wewe ndio upo sahihi zaidi kuliko wenzio? Umeulizwa swali hapo unajifanya kusema kama hajui agoogle

Unajiona kuwa wewe ndio upo sahihi sio?
 
Sabato Masalia bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Masheikh, Masharif, Maustadh naombeni mje mtujuze, je kiutaratibu inakuaje pale muislam anapovaa msalaba? Au ni pambo tu halina ubaya?

Maana naona Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amekuwa na utaratibu wa kuvaa msalaba siku za karibuni ilhali yeye ni muislam.

View attachment 1851816
Yesu ameingia maishani mwake.
Taratibu diamond ataokoka kama ilivyokuwa kwa masanja mkandamizaji.
Dai kajifunza dini zote ila kaona WOKOVU wa Yesu ndio ujanja.
 
Kwani Sabato masalia Ni Nini Na unabishana Na nan
Wewe Mwanamke ni mmbea, una tabia za maimuna tako laini wa magomeni mapipa, mshindia dela na ndala

Unawashwa na pilipili iliyo mbali nawewe, unawashwa na jambo lisilo lako.

Sabato masalia ni Dini? Hapo nimemjibu nani?
 
Wewe Mwanamke ni mmbea, una tabia za maimuna tako laini wa magomeni mapipa, mshindia dela na ndala

Inawashwa na pilipili iliyo mbali nawewe, unawashwa na jambo lisilo lako.

Sabato masalia ni Dini? Hapo nimemjibu nani?
Asante
 
Wewe Mwanamke ni mmbea, una tabia za maimuna tako laini wa magomeni mapipa, mshindia dela na ndala

Unawashwa na pilipili iliyo mbali nawewe, unawashwa na jambo lisilo lako.

Sabato masalia ni Dini? Hapo nimemjibu nani?
Duh! Sio Kwa Kwa kumchamba Na kumshushua huku, Shoga vipi?
 
Kwa Kristo kila goti litapigwa!
Tuwe wapole amini unachoamini wewe
 
Back
Top Bottom