Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo "ukweli" unaouamini ndiyo upotoshaji wenyewe wa ibilisi, hicho kigiriki hakiwezi kubeba tafsiri ya mwanzo ya matukio ya kibiblia kwa kuwa lugha muhimu ya kibiblia Ni kiebrania ( Hebrew) na siyo kigiriki Cha Athens!
Kama hujui kitu ni bora uingie hata Google Search utapata majibu kuliko kubishania vitu usivyovijua.Duh..! Hicho Kigiriki kiliandikwa na Mgiriki gani unayemuamini kiasi hicho? Unajitoa ufahamu kama una solid proof za ukweli wa hizo hadithi za kale.
Kazi kweli kweli.
Kama una akili ungeutafuta ukweli nje ya ninachokisema mimi na siyo kubishana bila hoja.Nini kinakufanya utuaminishe kuwa unachosema wewe ndio facts?
Thank you brother. The truth is there but people don't see itGalatians 3:13(ESV)
Christ redeemed us from the curse of the law by becoming a curse for us—for it is written, “Cursed is everyone who is hanged on a tree"
Nimekuuliza swali wewe moja unaniletea mashairi sijui ya gazeti gani.Kama una akili ungeutafuta ukweli nje ya ninachokisema mimi na siyo kubishana bila hoja.
Facts zitabakia kuwa facts hata kama wewe hukubaliani nazo. Biblia yenyewe inakwambia wazi kabisa lakini bado unabishana nayo.
Kwanini unasmini kuwa wewe ndio upo sahihi zaidi kuliko wenzio? Umeulizwa swali hapo unajifanya kusema kama hajui agoogleKama hujui kitu ni bora uingie hata Google Search utapata majibu kuliko kubishania vitu usivyovijua.
Kwa ujinga huu milonao siyo bure mnadanganywa kirahisi sana na hayo makanisa yenu.
Wewe unataka avae Nini??Masheikh, Masharif, Maustadh naombeni mje mtujuze, je kiutaratibu inakuaje pale muislam anapovaa msalaba? Au ni pambo tu halina ubaya?
Maana naona Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amekuwa na utaratibu wa kuvaa msalaba siku za karibuni ilhali yeye ni muislam.
View attachment 1851816
Umekosa?Kwa lugha nyingine haipo[emoji23][emoji23]
Dini ipi? ya jamaa yupi?Umeijuaje Dini ya jamaa?
Yesu ameingia maishani mwake.Masheikh, Masharif, Maustadh naombeni mje mtujuze, je kiutaratibu inakuaje pale muislam anapovaa msalaba? Au ni pambo tu halina ubaya?
Maana naona Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amekuwa na utaratibu wa kuvaa msalaba siku za karibuni ilhali yeye ni muislam.
View attachment 1851816
Wewe Mwanamke ni mmbea, una tabia za maimuna tako laini wa magomeni mapipa, mshindia dela na ndalaKwani Sabato masalia Ni Nini Na unabishana Na nan
AsanteWewe Mwanamke ni mmbea, una tabia za maimuna tako laini wa magomeni mapipa, mshindia dela na ndala
Inawashwa na pilipili iliyo mbali nawewe, unawashwa na jambo lisilo lako.
Sabato masalia ni Dini? Hapo nimemjibu nani?
Duh! Sio Kwa Kwa kumchamba Na kumshushua huku, Shoga vipi?Wewe Mwanamke ni mmbea, una tabia za maimuna tako laini wa magomeni mapipa, mshindia dela na ndala
Unawashwa na pilipili iliyo mbali nawewe, unawashwa na jambo lisilo lako.
Sabato masalia ni Dini? Hapo nimemjibu nani?
Very matureAsante