MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Inasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani?
Kuna ndugu yetu alienda kama mwanamichezo mwaka 1990 ila kila akijaga bongo likizo mwonekano wake ni kama kibaka na hela hana. Yaani utakuta kavaa Tshirt na jeans kama kijana fulani pale Manzese. Kupitia yeye nikawa ninadhani ukienda Marekani lazima uharibikiwe tabia.
Ni kwamba Marekani maisha ni magumu sana hadi ndugu zetu wanakuwa na stress muda wote? Yaani mfano Mange Kimambi na ndugu yetu wa humu kina Nyani Ngabu na Kiranga huwa wana hasira muda wote. Tatizo ni nini?
Kwa mtu anayejua sababu za diaspora wetu wa USA kuwa na msongo wa mawazo tafadhali wape neno la faraja kwenye comment.