MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
subiri nywi nywi za ICC weweInasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani? Kuna ndugu yetu alienda kama mwanamichezo mwaka 1990 ila kila akijaga bongo likizo mwonekano wake ni kama kibaka na hela hana. Yaani utakuta kavaa Tshirt na jeans kama kijana fulani pale Manzese. Kupitia yeye nikawa ninadhani ukienda Marekani lazima uharibikiwe tabia.
Ni kwamba Marekani maisha ni magumu sana hadi ndugu zetu wanakuwa na stress muda wote? Yaani mfano Mange Kimambi na ndugu yetu wa humu kina Nyani Ngabu na Kiranga huwa wana hasira muda wote. Tatizo ni nini?
Kwa mtu anayejua sababu za diaspora wetu wa USA kuwa na msongo wa mawazo tafadhali wape neno la faraja kwenye comment.
Nyani NgabuInasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani? Kuna ndugu yetu alienda kama mwanamichezo mwaka 1990 ila kila akijaga bongo likizo mwonekano wake ni kama kibaka na hela hana. Yaani utakuta kavaa Tshirt na jeans kama kijana fulani pale Manzese. Kupitia yeye nikawa ninadhani ukienda Marekani lazima uharibikiwe tabia.
Ni kwamba Marekani maisha ni magumu sana hadi ndugu zetu wanakuwa na stress muda wote? Yaani mfano Mange Kimambi na ndugu yetu wa humu kina @Nyani Ngabu na @Kiranga huwa wana hasira muda wote. Tatizo ni nini?
Kwa mtu anayejua sababu za diaspora wetu wa USA kuwa na msongo wa mawazo tafadhali wape neno la faraja kwenye comment.
Vipi kuhusu huyo kichwa panzi wa Kizimkazi, unaona akili yake ni sawa? BTW,wewe unayeona diaspora wana shida wewe ndiyo una shida. Pumbavu wewe.Inasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani? Kuna ndugu yetu alienda kama mwanamichezo mwaka 1990 ila kila akijaga bongo likizo mwonekano wake ni kama kibaka na hela hana. Yaani utakuta kavaa Tshirt na jeans kama kijana fulani pale Manzese. Kupitia yeye nikawa ninadhani ukienda Marekani lazima uharibikiwe tabia.
Ni kwamba Marekani maisha ni magumu sana hadi ndugu zetu wanakuwa na stress muda wote? Yaani mfano Mange Kimambi na ndugu yetu wa humu kina Nyani Ngabu na Kiranga huwa wana hasira muda wote. Tatizo ni nini?
Kwa mtu anayejua sababu za diaspora wetu wa USA kuwa na msongo wa mawazo tafadhali wape neno la faraja kwenye comment.
stress za kutokumiliki nyumba na kufanya kazi overtime , mtu analipa mortage kijumba cha mbao miaka 20 bado credit cards zipo negative bado hujaongelea kila mwezi car insuarnce, car financing watoto wavute bangi , mara mashoga huko huko ana michango ya kutuma bongo huku analinda status quo, hawezi kuzira kazi maana ukihesabu madeni yake yote ni hana kitu na hatakuwa na pa kukaaa , ongezea lonelyness , LLOOOOOOOO UGHAIBUNI BANA NENDA KASOME TU URUDI ZAKOInasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani? Kuna ndugu yetu alienda kama mwanamichezo mwaka 1990 ila kila akijaga bongo likizo mwonekano wake ni kama kibaka na hela hana. Yaani utakuta kavaa Tshirt na jeans kama kijana fulani pale Manzese. Kupitia yeye nikawa ninadhani ukienda Marekani lazima uharibikiwe tabia.
Ni kwamba Marekani maisha ni magumu sana hadi ndugu zetu wanakuwa na stress muda wote? Yaani mfano Mange Kimambi na ndugu yetu wa humu kina Nyani Ngabu na Kiranga huwa wana hasira muda wote. Tatizo ni nini?
Kwa mtu anayejua sababu za diaspora wetu wa USA kuwa na msongo wa mawazo tafadhali wape neno la faraja kwenye comment.
Hasa kiranga,ile ni mental caseHao jamaa mostly Wana mental issue na loliness inawatesa sana huko waliopo
Ni akina nani hao?Humu ndani Diaspora ambao wako timamu ni watatu tu
Wataje basiHumu ndani Diaspora ambao wako timamu ni watatu tu
Wewe kaa kwa kutulia. Au unadhani wewe mkazi wa Namanyere pia ni diaspora?Vipi kuhusu huyo kichwa panzi wa Kizimkazi, unaona akili yake ni sawa? BTW,wewe unayeona diaspora wana shida wewe ndiyo una shida. Pumbavu wewe.
Huyo Nyani huwa ana hasira balaa.
Rais kahaba SSH pamoja na jopo lake lote pale ikulu hao ndio wenye akili kisoda so fatilia kujua kuna nini hapo ikulu kinachowafanya waaonekane hamnazo.Inasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani?
Katika orodha secretarybird usimweke kapuni plizz!Humu ndani Diaspora ambao wako timamu ni watatu tu
Unaongea ukiwa mtaa gani hapo Kojani chawa?Inasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani?
Kuna ndugu yetu alienda kama mwanamichezo mwaka 1990 ila kila akijaga bongo likizo mwonekano wake ni kama kibaka na hela hana. Yaani utakuta kavaa Tshirt na jeans kama kijana fulani pale Manzese. Kupitia yeye nikawa ninadhani ukienda Marekani lazima uharibikiwe tabia.
Ni kwamba Marekani maisha ni magumu sana hadi ndugu zetu wanakuwa na stress muda wote? Yaani mfano Mange Kimambi na ndugu yetu wa humu kina Nyani Ngabu na Kiranga huwa wana hasira muda wote. Tatizo ni nini?
Kwa mtu anayejua sababu za diaspora wetu wa USA kuwa na msongo wa mawazo tafadhali wape neno la faraja kwenye comment.
Wewe Diaspora wa Burundi kaa kimya.Rais kahaba SSH pamoja na jopo lake lote pale ikulu hao ndio wenye akili kisoda so fatilia kujua kuna nini hapo ikulu kinachowafanya waaonekane hamnazo.
Usisahau USA sio bongo land so zingatia waliopo ikulu na sio USA.
This logical fallacy is called hasty generalization.Inasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani?
Kuna ndugu yetu alienda kama mwanamichezo mwaka 1990 ila kila akijaga bongo likizo mwonekano wake ni kama kibaka na hela hana. Yaani utakuta kavaa Tshirt na jeans kama kijana fulani pale Manzese. Kupitia yeye nikawa ninadhani ukienda Marekani lazima uharibikiwe tabia.
Ni kwamba Marekani maisha ni magumu sana hadi ndugu zetu wanakuwa na stress muda wote? Yaani mfano Mange Kimambi na ndugu yetu wa humu kina Nyani Ngabu na Kiranga huwa wana hasira muda wote. Tatizo ni nini?
Kwa mtu anayejua sababu za diaspora wetu wa USA kuwa na msongo wa mawazo tafadhali wape neno la faraja kwenye comment.
Hasira pia inahusishwa na akili nyingi.Huyo Nyani huwa ana hasira balaa.