Kiranga wewe ni genious,nakukubali.Hasira pia inahusishwa na akili nyingi.
Watu wenye akili kubwa wanakuwa na hasira sana kwa sababu wanaona ujinga mwingi.
Wewe mjingamjinga huwezi kuwa na hasira sana kwa sababu huna akili ya kuona ujinga mwingi unaokuzunguka.
Ukiona unazungukwa na matatizo mengi halafu huna hasira ujue una akili ndogo.
Pengine hata hujui kuwa unazungukwa na matatizo mengi, kwa sababu una akili ndogo.
Well response KirangaHasira pia inahusishwa na akili nyingi.
Watu wenye akili kubwa wanakuwa na hasira sana kwa sababu wanaona ujinga mwingi.
Wewe mjingamjinga huwezi kuwa na hasira sana kwa sababu huna akili ya kuona ujinga mwingi unaokuzunguka.
Ukiona unazungukwa na matatizo mengi halafu huna hasira ujue una akili ndogo.
Pengine hata hujui kuwa unazungukwa na matatizo mengi, kwa sababu una akili ndogo.
Unanunua ugomvi ngoja niwashtue wakushukie na majambiaNi kwamba Marekani maisha ni magumu sana hadi ndugu zetu wanakuwa na stress muda wote? Yaani mfano Mange Kimambi na ndugu yetu wa humu kina Nyani Ngabu na Kiranga huwa wana hasira muda wote. Tatizo ni nini?
Hajafika na mimi usinitaje nitashuka km Mayor QuimbyHuyo Nyani huwa ana hasira balaa.
Hasira pia inahusishwa na akili nyingi.Huyo Nyani huwa ana hasira balaa.
Kiranga ni kweli tunavijana wengi wa UVCCM ni wajinga sana pamoja na genge lao linaowapa ulajiNimeshajibu post #20
Hasira pia inahusishwa na akili nyingi.Huyo Nyani huwa ana hasira balaa.
Watu wenye akili kubwa wanakuwa na hasira sana kwa sababu wanaona ujinga mwingi.
Wewe mjingamjinga huwezi kuwa na hasira sana kwa sababu huna akili ya kuona ujinga mwingi unaokuzunguka.
Ukiona unazungukwa na matatizo mengi halafu huna hasira ujue una akili ndogo.
Pengine hata hujui kuwa unazungukwa na matatizo mengi, kwa sababu una akili ndogo.
Hii taarabu ungemuimbia mama Abdul kidogo ingemtia faraja....Inasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani?
Kuna ndugu yetu alienda kama mwanamichezo mwaka 1990 ila kila akijaga bongo likizo mwonekano wake ni kama kibaka na hela hana. Yaani utakuta kavaa Tshirt na jeans kama kijana fulani pale Manzese. Kupitia yeye nikawa ninadhani ukienda Marekani lazima uharibikiwe tabia.
Ni kwamba Marekani maisha ni magumu sana hadi ndugu zetu wanakuwa na stress muda wote? Yaani mfano Mange Kimambi na ndugu yetu wa humu kina Nyani Ngabu na Kiranga huwa wana hasira muda wote. Tatizo ni nini?
Kwa mtu anayejua sababu za diaspora wetu wa USA kuwa na msongo wa mawazo tafadhali wape neno la faraja kwenye comment.
Utalinganisha quality of life na hizo shithole countries, Wewe mashoga wanakuhusu nini? Au umenyang'anywa mabwana na hao mashoga wenzio? Huwezi kujillinganisha na nchi yoyote za dunia ya kwanza fala wewe. Unaishi kwenye mavumbi, mnatekwa kila siku na huyo CHURA BINTI KIZIWI, Mnapigwa ovyo na polisi, Makonda na askari wake wanawafira na kuwabaka, kuwafunga. Hiyo ni nchi? Diaspora wanawasaidia msiendelee kuuwawa bado unapiga kelele.stress za kutokumiliki nyumba na kufanya kazi overtime , mtu analipa mortage kijumba cha mbao miaka 20 bado credit cards zipo negative bado hujaongelea kila mwezi car insuarnce, car financing watoto wavute bangi , mara mashoga huko huko ana michango ya kutuma bongo huku analinda status quo, hawezi kuzira kazi maana ukihesabu madeni yake yote ni hana kitu na hatakuwa na pa kukaaa , ongezea lonelyness , LLOOOOOOOO UGHAIBUNI BANA NENDA KASOME TU URUDI ZAKO
Hata chizi huwaona wazima ndo machizi jiangalie huenda Wewe ndo unachangamotoInasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani?
Kuna ndugu yetu alienda kama mwanamichezo mwaka 1990 ila kila akijaga bongo likizo mwonekano wake ni kama kibaka na hela hana. Yaani utakuta kavaa Tshirt na jeans kama kijana fulani pale Manzese. Kupitia yeye nikawa ninadhani ukienda Marekani lazima uharibikiwe tabia.
Ni kwamba Marekani maisha ni magumu sana hadi ndugu zetu wanakuwa na stress muda wote? Yaani mfano Mange Kimambi na ndugu yetu wa humu kina Nyani Ngabu na Kiranga huwa wana hasira muda wote. Tatizo ni nini?
Kwa mtu anayejua sababu za diaspora wetu wa USA kuwa na msongo wa mawazo tafadhali wape neno la faraja kwenye comment.
Vilaza wapo ikulu, diaspora sio vilaza hata kahaba SSH unajua kuwa diaspora sio vilazaWewe Diaspora wa Burundi kaa kimya.
Mimi hapaHumu ndani Diaspora ambao wako timamu ni watatu tu
AHhaaaaa ahaaaa nilikaaa huko miaka 12 nikaona hamna future na nina bahati baba mzazi alikuwa mjanja ana watoto wengi ndo maana tulikuta nyumba tumeshalipiwa 80% Iowa forest city ya 790,000 na Toronto Vaughan Major Mackenzie street 90% ya 1,100,000 na alilipia nyumba netherland 80% rubernberg street ya 750,000 ili watoto wake wasipange na hatukupanga kweli, na kodi za watu wa basements tulichukua kunywea pombe wakati tunasoma .Utalinganisha quality of life na hizo shithole countries, Wewe mashoga wanakuhusu nini? Au umenyang'anywa mabwana na hao mashoga wenzio? Huwezi kujillinganisha na nchi yoyote za dunia ya kwanza fala wewe. Unaishi kwenye mavumbi, mnatekwa kila siku na huyo CHURA BINTI KIZIWI, Mnapigwa ovyo na polisi, Makonda na askari wake wanawafira na kuwabaka, kuwafunga. Hiyo ni nchi? Diaspora wanawasaidia msiendelee kuuwawa bado unapiga kelele.
Nchi inaenda uchaguzi, wagombea wanafungwa, wanapigwa, wengine wanauawa, bi chakubanga anaamua kujishindisha nyie mmekalia makalio yenu yanayonuka halafu unawadharau Diaspora. Wewe ni mpumbavu, mwanaume asiye na akili. Nani amekwambia Diaspora wana challenge hiyo unayoona? Loneliness? Watu wana familia zao na siyo lazima wanunue nyumba kwa mortgage, hata ikiwa mortgage mbona wanamaliza kulipa miaka chini ya 10. Acha ushamba, huzitaki ndizi hizi kwa sababu haupo huko. Umekaa kwenye vumbi, mbu wanakumaliza, na huku Abdul akiamua, aidha uishi au usiishi......Jipe moyo tu fala wewe.
shi ngapi wolrd remit na send wave? per person unatuma jumla sh ngapi na kwa nini kana sio za wazazi wako na ada za ndugu zako ambazo hata sisi tunalipa tuIla hamuachi kutembeza bakuri kila siku, usichoelewa diaspora wanatuma pesa bongo kuliko sekta yote ya utalii, Mwigulu hawezi kusema hilo ila anajua
Uchizi wa ndugu yako ndo u generalise watu wote? una akili wewe? Yawezekana ndugu yako ana akili zake timamu ila wewe sasa kwa upunguani wako na kuombaomba kwako kunafanya umchukie ndugu yako na kuchukia wengine, fanya kazi pumbavu weweππInasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani?
Kuna ndugu yetu alienda kama mwanamichezo mwaka 1990 ila kila akijaga bongo likizo mwonekano wake ni kama kibaka na hela hana. Yaani utakuta kavaa Tshirt na jeans kama kijana fulani pale Manzese. Kupitia yeye nikawa ninadhani ukienda Marekani lazima uharibikiwe tabia.
Ni kwamba Marekani maisha ni magumu sana hadi ndugu zetu wanakuwa na stress muda wote? Yaani mfano Mange Kimambi na ndugu yetu wa humu kina Nyani Ngabu na Kiranga huwa wana hasira muda wote. Tatizo ni nini?
Kwa mtu anayejua sababu za diaspora wetu wa USA kuwa na msongo wa mawazo tafadhali wape neno la faraja kwenye comment.
Naam!Utalinganisha quality of life na hizo shithole countries, Wewe mashoga wanakuhusu nini? Au umenyang'anywa mabwana na hao mashoga wenzio? Huwezi kujillinganisha na nchi yoyote za dunia ya kwanza fala wewe. Unaishi kwenye mavumbi, mnatekwa kila siku na huyo CHURA BINTI KIZIWI, Mnapigwa ovyo na polisi, Makonda na askari wake wanawafira na kuwabaka, kuwafunga. Hiyo ni nchi? Diaspora wanawasaidia msiendelee kuuwawa bado unapiga kelele.