Kwanini Diaspora wa USA huwa wengi wao ni kama wana matatizo ya afya ya akili?

Hii comment ni ya hadhi ya five star ⭐ hotel.

Kaka kiranga usichoke ku brush Hawa watu by the way umewazidi in all sphere of life..
 
Ndugu yako ha reflect diaspora wote , wapo waliofanikiwa na wanafanya vizuri

Nilibahatika kukutana na doctors, engineers, tuna wakufunzi mpaka wa vyuo vikuu na ni wabongo

Kipindi fulan nikiwa huko , america ukienda bila mipango utapigika na kuchanganyikiwa sana
Haswa wazamiaji bila plan
 
Hata mimi sijasema wote.
 
shi ngapi wolrd remit na send wave? per person unatuma jumla sh ngapi na kwa nini kana sio za wazazi wako na ada za ndugu zako ambazo hata sisi tunalipa tu
Nyinyi mnalipa bei gani?
 
Duh! Kwani diaspora wa marekani wamekukosea nini mdau?!
Mbona iko personal sana hii?!
 
Wewe ndiyo mwenye shida ya afya ya akili mjinga wewe usiyejua hata haki yako ya msingi. Huyo mama anawaziba makalio yenu ndiyo maana akili zenu zinakuwa hazipo. Mtanzania yeyote anayekaa nje ya nchi hata hapo Kenya ana akili za kutosha, wanashindwa kuwaelewa mnakaa kwenye mavumbi halafu bado mnajifanya mna akili...wapumbavu nyie, shida zimewajaa hadi kwenye kope za mimacho yenu. Kwa taarifa yenu, watanzania walio nje wamefunguka macho siyo kama nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…