Kwanini Diaspora wengi hawana watoto?

Diaspora wengi wana watoto na hata huyo Lemutuz uliyemtaja ana watoto
 
First of all, most women in US are very determined &very intelligent when it comes to the relationship affairs. They are not ready to marry someone with abject poverty.

Secondly, most Diaspora are affected by marriage of the same sex. Hope you know what I mean.
 
Dude you are so daft.

How does intelligence of one, relate to the poverty if another?

Secondly, Does Diaspora to you mean only US?

Thirdly, And are you trying to implicate our men of homosexuality?

Yaani wanatoka Bongo kwenda kutafuta mabasha?

Umetukosea sanaaa.
 
Ukute wanawake wa kule ni vimeo zaidi yetu sisi.

Sasa hawa kaka zetu wanaona hapana, vichwa vibovu hivi havifai.

Rudini nyumbani bana Bora sisi mizimwi muijuayo 🤣🤣
Hao wanawake huko naona wanawezana wao kwa wao..
Na sisi wanaume tunawezana na wa huku kwetu
Sema huku afrika wana inferiority complex Wakiona mzungu wanapapatikia kumbe ile ngozi tu
 
Gusa unase, katika kitu ni hatari kwa mzungu ni umzalishe raia wao....mwanamke akikufanyia visa akataka muachane jua ngoma ya child support utaicheza mpaka unaondoka duniani au unapakimbia kwa mzungu
Really?
 
Wanaishi na ma dog kama watasha hiyo ndio familia yao kama walivyonza kuiga mastaa wa bongo baada ya kuharibu mifumo yao ya uzazi wakitaka kuwa vijana milele
 
Kigezo cha kwanza, kinatumika na wanawake karibia kote Duniani na sio tu US, maana ni suala la kisaikolojia zaidi, pale mwanamke anapotaka kizaa na kuanzisha familia kizazi chake kijacho..

Point ya pili, labda utuambie kama kuna utafiti wowote juu ya hilo?
 
Hao wanawake huko naona wanawezana wao kwa wao..
Na sisi wanaume tunawezana na wa huku kwetu
Sema huku afrika wana inferiority complex Wakiona mzungu wanapapatikia kumbe ile ngozi tu
Kuna kipindi kimoja Cha couple hookups kipo DSTV kunaitwa 90 Days Fiance ndo utachoka.

Kuna jamaa anaitwa Michael wa Nigeria Ana mwanamke anaitwa Angela it was pure madness.

I think Angela was 69 mpaka vows alikuwa hataki kufatisha kinachosemwa.

If you have time visit their IG page and scroll back utatamuni umvunje pia Michael akili zimrudie. All for A Green Card.
 
Ongeza...wengi wao wakirudi huko huwa mahamuma, walevi wa kupindukia na 99% wanakwenda kinyume na ...
 
Hatari sana hii
 
Una assume sana.

Unasema Le Mutuz hana watoto bila hata kuuliza kwanza.

Hao wasio na watoto unataka kuwazalia?
 
Ukute wanawake wa kule ni vimeo zaidi yetu sisi.

Sasa hawa kaka zetu wanaona hapana, vichwa vibovu hivi havifai.

Rudini nyumbani bana Bora sisi mizimwi muijuayo 🤣🤣
Halikuli likakwisha ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…