Kwanini Diaspora wengi hawana watoto?

Hii ya same sex mimi ndio nimeishangaa
 
Kwanza lemutuz kilichomkimbiza ni Child support..!
Mimi bora nibanane na mwajuma wangu tumbokubwa nikimpa chipsi vumbi na kijora cha buku 7 ananipa yotee
Wazungu sio tunasikia wana cost sharing kati ya me na ke?
 
Wanasema alikimbia child support

Hapana, alikimbia miluzi mingi ya mtalaka wake ikawa kero kwake akamuachia kila kitu, alishawahi andika kwenye story zake, simply ali move on bro wetu, pia mke wake ni wale kichefu chefu maana alikua ana collude na wabaya wa bro Lemutuz alafu anamchafua jamaa wa watu!
 
Kipindi hicho akiwa dereva wa malori?
 
Umechemka!!! Huu utafiti wako uliufanya kwa muda gani na nchi zipi ambazo Diaspora wanaishi? Na ukubwa wa sample yako ulikuwa upi kwa Diaspora ME na KE!?
 
Tena kasema ana uhakika kuwa Lemutuz atakuwa hana watoto!

JF bana….yaani unaweza kukuta kuna watu ‘wanamjua’ mtu kuliko hata ajijuavyo mwenyewe.
Mimi kuna mtu alishasema Kiranga ni mtoto wa Mkapa.

Yani mtu anakufuatilia kwa nini huna mtoto utafikiri mama mkwe wa movie ya kidosi!
 
Ukiwa mtu mweusi na hauna pesa kupata demu mzungu au muarabu ni kazi sana,..
Huwa mademu wanakatazwa na familia zao kuwa na mahusiano na sisi wakiambia wasiiletee aibu familia

ila ubaguzi wa rangi unauma aisee usiombe ukutane na hiyo kisanga
 
Una assume sana.

Unasema Le Mutuz hana watoto bila hata kuuliza kwanza.

Hao wasio na watoto unataka kuwazalia?

Hapo hapo anakwambia ushahidi wake ni ndugu, rafiki na jamaa walioko nje...si awaulize kwanini hawana watoto? Anakuja kutuvuruga hapa jukwaani kwa kitu anachoweza kupata majibu kwa wahusika moja kwa moja. Matokeo yake ndio haya analeta habari za kufikirika za maisha binafsi ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…