Kwanini Diaspora wengi hawana watoto?

Women are more protected by the law and are aware of their rights in mzungu land, in Bongo land a man can get away with impregnating multiple women without being slapped with any child support
Hata Tz wanalindwa na sheria. Tatizo ujinga na ukosefu wa elimu ndiyo chanzo cha kutokudai haki zao.
 
Child support ndo inakuaje mkuu...
Inategemea nchi na nchi ila kiujumla ni malipo yanayotolewa kila baada ya kipindi fulani cha muda kupita kumsaidia mzazi mwenza kulea mtoto pale mahusiano yenu yanapofika tamati huku mkiwa na mtoto
 
sometime ugumu wa maisha ndio Chanzo kupelekea kuchukua vizee vya kizungu vilivyokosa wa kuwatunza uzeeni. Wakati kwenu umeviacha vikina aisha saa 6 kabisa..! Huo upuuzi siwezi fanya hata wanipe yellow Card instead of green card zao hizo..

Kwanza wanajipa laana kuchukua vibibi hata kupigana mate sijui anawezaje?
 
Hao watoto unaowazaa unawawekea msingi gani? Unataka kuwazaa uwaachie msala.
Sasa nje ya nchi wanaangalia yote hayo.

Sio kibongobongo mimba za bahati mbaya, na kwamba fyucha yao itafahamika mbele kwa mbele.
Tunamsemo mmoja wakijinga eti uwezi kujua anaweka kuwa rais....pumbaf kabisa
 
Kwasababu hawakwenda huko nje kuzaa
 
Watoto wanao ila kuoa ndo hawawezi. Wamezoea kuishi kibachelor. Na wengi wanaishi peke yao miaka mingi.ni ngumu kuishi na mtu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hasa wale wa SWEDEN πŸŒŸπŸŒŸπŸŒŸπŸŒŸπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukute wanawake wa kule ni vimeo zaidi yetu sisi.

Sasa hawa kaka zetu wanaona hapana, vichwa vibovu hivi havifai.

Rudini nyumbani bana Bora sisi mizimwi muijuayo 🀣🀣
Karucee😍
 
Kwani hawakutani na Diaspora wenzao huko?

Ukiwa mtu mweusi na hauna pesa kupata demu mzungu au muarabu ni kazi sana,..
Huwa mademu wanakatazwa na familia zao kuwa na mahusiano na sisi wakiambia wasiiletee aibu familia

ila ubaguzi wa rangi unauma aisee usiombe ukutane na hiyo kisanga
Walau wewe umekuwa muwazi mkuu
 


Aamitabaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…