Kwanini Diaspora wengi hawana watoto?

First of all, you have to understand that most Diaspora are very poor. So no woman can marry a poor.

Further to that, they are defined as crooks, robbers & looters.
Hahahaha!

We jamaa bhanaa!
 
Mi nimeishi uk kwa miaka minne...ugumu unakuja pale unataka usettle kwanza upige kazi upate sehemu nzuri ya kuishi hado bongo unakuta una wategemezi basi unakazana sana kupiga kazi viwandani huko au za care homes..sasa pale unakosa muda wa kusocialize na watu mbali mbali..totoz ukienda club mara kwa mara mbona zipo tu za kutosha.. maana akili yako kila saa inawaza kazi...ukija kushtuka unakuta muda umeshaenda sana...madem watu kule nao wanataka mtu mwenye uraia au mwenye kauwezo flan hivi aka mwenye future [emoji16]..
 
Hukupata mtoto mkuu ?
 
Mwanangu umejumuisha sana. Umefanya overgeneralization bila utafiti. Mbona wako wengi wenye watoto kama wale waliokwenda kule na wake zao? Japo una pwenti hasa ikizingatiwa kuwa wengi ima huenda kama wanafunzi na kuacha kusoma na kusotea maisha na wengine hata bila makaratasi. Kimsingi, wanawake wa kizungu kwenye kuzaa hawana ubaguzi. Wapo wengi wanaotaka waume. Hata hivyo, hutegemea na mhusika. Wapo waliokwenda ulaya kutafuta maisha ili wakirejea nyumbani waanze maisha. Wapo ambao ni choka mbaya kiasi cha kutoweza kuvutia hata wanawake wa kuzaa nao hasa kwenye nchi ambapo wengi hawana makaratasi au kazi. Hili tatizo halina jibu moja.
 
Kwahiyo hapo kwenye future ndio pagumu?
 
Naomba kuuliza kidogo. Mademu wa kizungu wanakubali kuzaa kirahisi kama huku kwetu akina Mwajuma?
 
Tatizo umekuwa na nadharia sana mkuu mbona kaskazini watu wamezaa sana na watasha
 
Ulichosema ni ukweli kwa asilimia 80%,we acha mkuu sijui nianze kusimulia vp
 
Sio kweli, Mi naona waarabu ndio wana mapenzi na watu weusi kuliko wazungu, wahindi na wayahudi.
Aah..wap..Tena wale Coco Na wakuchovya ndio usiseme....
Siku hizi biashara..Kama una pesa utaoa unayetaka...japokuwa wao wenyewe nj maskini wa kutupa!

Pwani huku unapata wazur ..Tena hawauzwi....

Tatizo weusi wana shobo za kishamba Sana ndio maana yanazinguliwa...


Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni kwa wazungu tu, wanajali sana kinga, na kufunga funga uzazi!
 
Kwani Lemutuz anasemaje? Lakini Lemutuz ana watoto wakubwa aliozaa na mkewe.
 
Sifahamu nikujibu vipi maana umeandika kwa hasira sana.
 
Sample ya watu wawili ndo wengi

aliekuambia lemutuz hana watoto ndo nani?.
 
Mkuu uwe unafanya utafiti walau kidogo kabla hujaanzisha uzi,
Katika hiyo mifano miwili uliotoa mmoja ni wa uongo, Lemutuz ana watoto wawili we umesema hana mtoto, sasa unaweza kukuta hata huyo jamaa unaemsema anaweza kuwa na watoto ila we ndio hujui,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…