Kwanini Diaspora wengi hawana watoto?

Sawa
 
Wazungu wengi hawapendi kuzaa,Nina jamaangu alikuwa na mchumba mzungu alimwambia hatazaaa,
Childless by choice ni jambo la kawaida kabisa ulaya. Waswahili tumejenga dhana lazima kuzaa ili mtoto akutunze uzeeni. Mtoto kama insurance policy vile.
 
Gusa unase, katika kitu ni hatari kwa mzungu ni umzalishe raia wao....mwanamke akikufanyia visa akataka muachane jua ngoma ya child support utaicheza mpaka unaondoka duniani au unapakimbia kwa mzungu
Bongo huku kwetu raha bhana. child support ni. Debe 2 za mahindi na 20 ya mboga kila mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…