Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,368
- 12,964
Shalom akhbar!
Katika ulimwengu wa Leo Ukiangalia wahanga wakubwa wa manabii,waganga na wahanga na kuolewa wanne wanne ni wanawake...unadhani ni kwanini?
Simple.
Wanawake ni Viumbe wa hisia kuliko logic, na dini inatumia hisia zaidi kukamata watu kuliko logic, kwasababu ukitumia logic ndogo tu utaona dini zote ni za uongo. Lakini dini inatumia hisia ndiomaana inaendelea kuwepo duniani.
Wanawake wanakuwa wahanga sana wa kufanya chochote na kupelekwa kivyovyote na hizi dini kwasababu wao hutumia sana hisia kuliko akili zao au logic. Vifuatavyo ni vitu ambavyo dini hutumia kutawala kupitia hisia.
1. Hisia ya uoga:
Dini zinauza hisia ya uoga, Kama vile uoga wa kufa na kwenda kuzimu/Jehanam. Uoga wa kutokubalika kwenye jamii kisa huamini dini flani, Uoga wa kuwa na maisha magumu kisa huamini dini/Mungu flani. Au uoga wa kuuliwa au kukataliwa kisa umeikataa au kuipinga dini fulani.
2. Hisia ya Imani:
Watu hawajui kuwa hata Imani ni hisia kama hisia zingine.
Unapoamini kitu bila ushahidi, hiyo ni hisia tu za furaha, chuki, wivu, uoga nk. Kwahyo wanawake wanakuwaga na Imani zaidi ya wanaume kwasababu ni Viumbe vinavyotawaliwa na hisia zaidi kuliko logic na uhalisia.
3. Hisia ya Matumaini:
Hisia ya Matumaini ni ile hisia kwamba against all odds, pamoja na changamoto unazopitia wewe bado unatumaini kuwa mbeleni Kuna furaha. Na hii pia ni sababu kwanini masikini wengi na bara la Africa Kwa ujumla ndio wahanga wa Dini, ni kwasababu ya Matumaini. kuwa pamoja na changamoto na shida wanazopitia hapa duniani, ipo siku Mungu wao atawaokoa au huko mbeleni au mbinguni Mungu atawaokoa na wataishi maisha mazuri kuliko waliyo nayo hapa duniani.
4. Hisia ya kukubalika:
Unapoamini katika Imani flani unahisi Kama vile watu wa Imani hiyo wanakukubali sana kuliko wanavyowakubali watu wa Imani zingine, hivyo inamfanya mtu atamani kuwa katika Imani hiyo ili akubalike na awe Moja wa jamii fulani. ili ahusishwe katika misiba, harusi na sherehe za jamii hiyo.
Binadamu ni mnyama social kwahyo ni natural kwake kutamani kuwa katika kikundi/jamii/dini fulani ili akubalike hapo. Kwahyo ili akubalike inamlazimu aamini katika dini ya jamii hiyo.
Alamsiki! Na Ashakum.