Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
- Thread starter
- #21
Kwa madai yako hata hayo macho hayapaswi kuonekana, ingetakiwa kuwekwa nyavu hapo machoni.Unataka kama hivi ?View attachment 3045743stara kwa mwanamke haiusishi kichwa pekee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa madai yako hata hayo macho hayapaswi kuonekana, ingetakiwa kuwekwa nyavu hapo machoni.Unataka kama hivi ?View attachment 3045743stara kwa mwanamke haiusishi kichwa pekee
Kinaongelewa Kichwa gani Mkuu 😅😅Kichwa cha mwanamke ni mume wake.
1 Wakorintho 11
3. Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu.
Hakiongelewi kichwa hiki cha physically
Kwa madai yako hata hayo macho hayapaswi kuonekana, ingetakiwa kuwekwa nyavu hapo machoni.
Wewe unaweza kumtamani mwanamke kwa kumtazama kichwa chake(sio uso)?Mwanamke akiwa hayupo katika stara anaweza sababisha wanaume kujawa na tamaa na kujikuta wanatenda dhambi kwa ushawishi wa maumbile ya mwanamke.
Hivyo Katazo au agizo la kusitiri miili yao lina kusudi la kupunguza uwezekano wa kutamanisha au kushawishi wanaume
Stara ya mwanamke sio kichwa tu, bali ni mwili mzimaWewe unaweza kumtamani mwanamke kwa kumtazama kichwa chake(sio uso)?
Utaratibu wa watu wa mashariki ya kati kwa sababu ya upepo mkali wa jangwa wenye mchanga hivyo ili kusitiri nywele zao waliamu kufanya hivo.Katika maandiko ya dini zote tatu za Uisalamu, Ukristo na Uyahudi suala la wanawake kujifunika vichwa vyao linazungumziwa japo kwa msisitizo tofauti. Katika Ukristo mazingatio yake ni madogo sana mfano kwa masista wa Kikatoliki na kwa makanisa machache mfano kwa Kakobe, katika Uyahudi siku hizi msisitizo umebaki kwa wanawake kufunika kichwa katika ibada tu, kwa upande wa Uislamu hilo bado ni jambo muhimu sana na tena kwenye nchi nyingine ni shurti kabisa.
Kwa nini mungu katika hizi dini na maandiko yake aliweka hayo maelekezo na sababu za msingi hasa ni zipi?
Acha kupotosha watu ndugu.Sio dini ni Mila na tamaduni za ki babarism za za kiyahudi na kiarabu ambazo kimsingi ni Mila za eneo Moja ambazo dini Tatu za kiyahudi, kiislamu na Kikristu zilichipukia.Mila hizo kwa kuwa ziliibuka katika kipindi Cha babarism ambapo mwanamke alionekana sio binaadamu sawa na mwanaume Bali ni Mnyama kazi anayeongea (Instrumentum vocale)
Basi mabwana walioleta Imani hizo walikuwa na hayo mamila Yao ambayo kimsingi yanagandamiza Sana haki za wanawake hata kwenye nyumba za ibada hawatakiwi wawe viongozi wasimame mbele ya wanaume.
Wewe endelea kariri hayo maandishi uliyoletewa na Majahazi unadanganywa yametoka kwa Mungu na Wala usitumie akili yakoAc
Acha kupotosha watu ndugu.
Hizo dini zinatoka Mashariki ya kati kwenye jua kali. Huko ni muhimu kufunika kichwa ili kupunguza athari za mionzi ya jua kichwani. Hakuna uhusiano wa kuvaa hivyo vilemba/kofia na dini zaidi ya mazingiraKatika maandiko ya dini zote tatu za Uisalamu, Ukristo na Uyahudi suala la wanawake kujifunika vichwa vyao linazungumziwa japo kwa msisitizo tofauti.
Katika Ukristo mazingatio yake ni madogo sana mfano kwa masista wa Kikatoliki na kwa makanisa machache mfano kwa Kakobe, katika Uyahudi siku hizi msisitizo umebaki kwa wanawake kufunika kichwa katika ibada tu, kwa upande wa Uislamu hilo bado ni jambo muhimu sana na tena kwenye nchi nyingine ni shurti kabisa.
Kwa nini mungu katika hizi dini na maandiko yake aliweka hayo maelekezo na sababu za msingi hasa ni zipi?
Kinaongelewa kichwa "Mwanaume/mume" kama kiongozi au Cheo. Kinapaswa kufunikwa kiwe siri katika mambo yake yote hasa wakati ambao hakipo sahihiKinaongelewa Kichwa gani Mkuu 😅😅
Hapo imeandikwa kichwa cha mwanamke ni Mwanaume.Hii inahusianaje na kufunika kichwa kwa kitambaa??
Vipi mbona mwanaume kaambiwe asifunike??Kinaongelewa kichwa "Mwanaume/mume" kama kiongozi au Cheo. Kinapaswa kufunikwa kiwe siri katika mambo yake yote hasa wakati hakipo sahihi
Mkuu Unapotosha Watu...Hapo imeandikwa kichwa cha mwanamke ni Mwanaume.
Basi "Kichwa ambaye ni mwanaume anapaswa kufunikwa kitambaa".
Tumia akili
Vijana mukishiba munaongea upuuzi ili muonekane kama mumesoma sana ila hebu nikuambie kitu Muogope sana Mungu uhai usikupe kibriSio dini ni Mila na tamaduni za ki babarism za za kiyahudi na kiarabu ambazo kimsingi ni Mila za eneo Moja ambazo dini Tatu za kiyahudi, kiislamu na Kikristu zilichipukia.Mila hizo kwa kuwa ziliibuka katika kipindi Cha babarism ambapo mwanamke alionekana sio binaadamu sawa na mwanaume Bali ni Mnyama kazi anayeongea (Instrumentum vocale)
Basi mabwana walioleta Imani hizo walikuwa na hayo mamila Yao ambayo kimsingi yanagandamiza Sana haki za wanawake hata kwenye nyumba za ibada hawatakiwi wawe viongozi wasimame mbele ya wanaume.
Your very stupidSio dini ni Mila na tamaduni za ki babarism za za kiyahudi na kiarabu ambazo kimsingi ni Mila za eneo Moja ambazo dini Tatu za kiyahudi, kiislamu na Kikristu zilichipukia.Mila hizo kwa kuwa ziliibuka katika kipindi Cha babarism ambapo mwanamke alionekana sio binaadamu sawa na mwanaume Bali ni Mnyama kazi anayeongea (Instrumentum vocale)
Basi mabwana walioleta Imani hizo walikuwa na hayo mamila Yao ambayo kimsingi yanagandamiza Sana haki za wanawake hata kwenye nyumba za ibada hawatakiwi wawe viongozi wasimame mbele ya wanaume.
kwa akili yako unaamini hayo maneno ya philosopher???Soma Moja wapo ya sifa za babarism kama zilivyoelezewa na philosopher Fredrick Engels . Moja wapo ya sifa ni kumgandamiza mwanamke, na kumuweka kwenye kundi la wanyama kazi. Kitendo Cha kufunika nywele ni kumkinga eti asionwe na kutamaniwa na meanamme mwingine