Chinese blade
JF-Expert Member
- May 15, 2023
- 337
- 366
Sababu ya msingi ni kuihifadhi jamii na maovu, machafu na udhalilishaji wa kijinsia dhidi ya mwanamke, take an example ya jamii yetu, kwa asilimia kubwa sana wanawake wanaojihifadhi kwa kufunika kichwa wanaheshimika na wapo mbali na maudhi kutoka kwa vijana wa hovyo kama mlima ufuta, vishu mtata na uhurumoja, angalia watawa wa kikatoliki na wengine wenye kuficha vichwa vyao.
Imeandikwa kuwa mwili wa mwanamke ni pambo kwa mwanaume ko hata nywele pia ni sehemu ya pambo, na ndio maana si ajabu kukuta kijana amemzimikia mdada kwa kumuona na wigi au brichi ya pacome, au aina nyingine ya nywele.