Chinese blade
JF-Expert Member
- May 15, 2023
- 337
- 366
Kwa hiyo tusiwaamini wenye scientific proof Bali tumwamini ambaye hakusoma aliyekuwa anatoa ndoto na kusema imeshushwa?Ko wewe
kwa akili yako unaamini hayo maneno ya philosopher???
Na kama ni ndio basi wewe ni mjinga wa kiwango cha international standard!
Katika Ukristo kuna mahali pia inamtaka Mwanamke asalipo basi sharti afunike kichwa....ni katika Agano jipyaKatika maandiko ya dini zote tatu za Uisalamu, Ukristo na Uyahudi suala la wanawake kujifunika vichwa vyao linazungumziwa japo kwa msisitizo tofauti.
Katika Ukristo mazingatio yake ni madogo sana mfano kwa masista wa Kikatoliki na kwa makanisa machache mfano kwa Kakobe, katika Uyahudi siku hizi msisitizo umebaki kwa wanawake kufunika kichwa katika ibada tu, kwa upande wa Uislamu hilo bado ni jambo muhimu sana na tena kwenye nchi nyingine ni shurti kabisa.
Kwa nini mungu katika hizi dini na maandiko yake aliweka hayo maelekezo na sababu za msingi hasa ni zipi?
Unamaanisha Mungu yupi? Maana Kila dini Ina Mungu mwenye sifa tofauti na Mungu wengineVijana mukishiba munaongea upuuzi ili muonekane kama mumesoma sana ila hebu nikuambie kitu Muogope sana Mungu uhai usikupe kibri
dini ni imani ya uwepo wa Mungu asiyeonekana na mwezeshaji wa ulimwengu na vilivyomo.Kwa hiyo tusiwaamini wenye scientific proof Bali tumwamini ambaye hakusoma aliyekuwa anatoa ndoto na kusema imeshushwa?
Vipi wasokuwa na waume, kwa sababu yoyote ile?Kichwa cha mwanamke ni mume wake.
1 Wakorintho 11
3. Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu.
Hakiongelewi kichwa hiki cha physically
Maana yake hawanà vichwaVipi wasokuwa na waume, kwa sababu yoyote ile?
Ndiyo maana hata mitume wa yeah hayupo ambaye ni mwanamkeSio dini ni Mila na tamaduni za ki babarism za za kiyahudi na kiarabu ambazo kimsingi ni Mila za eneo Moja ambazo dini Tatu za kiyahudi, kiislamu na Kikristu zilichipukia.Mila hizo kwa kuwa ziliibuka katika kipindi Cha babarism ambapo mwanamke alionekana sio binaadamu sawa na mwanaume Bali ni Mnyama kazi anayeongea (Instrumentum vocale)
Basi mabwana walioleta Imani hizo walikuwa na hayo mamila Yao ambayo kimsingi yanagandamiza Sana haki za wanawake hata kwenye nyumba za ibada hawatakiwi wawe viongozi wasimame mbele ya wanaume.