I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 14,885 Reaction score 18,083 Sep 22, 2021 #21 Slowly said: Makonda hata kuachia ofisi ya ukuu wa mkoa alijua perfectly what gona happen ...!! Anajua kila kitu na akaona the best option ni kukaa kimya mana ashajijenga kiuchumi Kwa kiwango cha kuridhisha Click to expand... Kajijenga kiuchumi kivipi, acha upambe wa kishamba, sema keshaiba vya kutosha wakati wa utawala wa aliyekuwa akimlamba miguu.
Slowly said: Makonda hata kuachia ofisi ya ukuu wa mkoa alijua perfectly what gona happen ...!! Anajua kila kitu na akaona the best option ni kukaa kimya mana ashajijenga kiuchumi Kwa kiwango cha kuridhisha Click to expand... Kajijenga kiuchumi kivipi, acha upambe wa kishamba, sema keshaiba vya kutosha wakati wa utawala wa aliyekuwa akimlamba miguu.
TUJITEGEMEE JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 25,225 Reaction score 25,488 Sep 22, 2021 #22 Mweshimiwa Kakurwa ameishasema bungeni kuwa waliotaka kutufitinisha kama taifa wameshindwa. Wewe unataka nini zaidi ya maelezo haya?
Mweshimiwa Kakurwa ameishasema bungeni kuwa waliotaka kutufitinisha kama taifa wameshindwa. Wewe unataka nini zaidi ya maelezo haya?