Kwanini Dkt. Philip Mpango ni Roman Catholic halafu kaka yake Askofu Gerald Mpango alikuwa Anglican?

Kwanini Dkt. Philip Mpango ni Roman Catholic halafu kaka yake Askofu Gerald Mpango alikuwa Anglican?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Nauliza hii imekaaje watoto wa baba mmoja ila wamekuwa na imani tofauti japo wote Wakristu?

mpangos.jpg

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa na Kaka yake, Marehemu Askofu Gerald Mpango​
 
Nauliza hii imekaaje watoto wa baba mmoja ila wamekuwa na imani tofauti japo wote Wakristu?

View attachment 2089454
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa na Kaka yake, Marehemu Askofu Gerald Mpango​
Wewe kichwani ni mzima? Maswala ya imani ni mambo binafsi.

Huyo Phillip Mpango hata leo akiamuwa kuwa mwislamu ni maamuzi yake.

Msijaze upumbavu wenu humu JF.
 
Aliona achague Anglican ili awe na familia. Ukatoliki huruhusiwi kuoa.
 
Mkuu sio kila umachokiwaza lazima ukianzishei uzi huku, vingine unawaza na unakausha tu.
 
Back
Top Bottom