Kwanini Dkt. Philip Mpango ni Roman Catholic halafu kaka yake Askofu Gerald Mpango alikuwa Anglican?

Kwanini Dkt. Philip Mpango ni Roman Catholic halafu kaka yake Askofu Gerald Mpango alikuwa Anglican?

mind you own businness pambana na hali yako haikuhusu mbona mimi mdogo wangu ni msabato mimi muislam na maamuzi ya watu tumia akila yako kutafuta maisha
 
ungetuletea kwanza baba yao (Babu yetu) alikua anasali dhehebu gani
 
Mimi Baba mlutheri, Mama Mmoreviani Mimi ni mFull gospel na mdogo wangu anayenifuata ni msabato. Shida iko wapi?
Ahahahaa! Familia yangu unakuta hadi kuna mchanganyiko wa wakristu na waislamu. Achilia mbali madhehebu tofauti.
 
Nauliza hii imekaaje watoto wa baba mmoja ila wamekuwa na imani tofauti japo wote Wakristu?

View attachment 2089454
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa na Kaka yake, Marehemu Askofu Gerald Mpango​
Mkuu, wanene wameamua kuufuta UkristU na kuweka mbadala wa UkristO. Baniani mbaya ila kiatu chake KIZURI.
 
Wewe kichwani ni mzima? Maswala ya imani ni mambo binafsi.

Huyo Phillip Mpango hata leo akiamuwa kuwa mwislamu ni maamuzi yake.

Msijaze upumbavu wenu humu JF.
Jamaaa kachemka sana

Ova
 
Baba yangu ni Mlutheri
Mimi ni Mlutheri
Kaka wa kwanza ni Shahidi wa Jehova
Kaka mwingine ni Anglican
Mwingine ni Ustaadh
 
Majibu ya kidotcom yananishangaza sana hapa kuna hoja
 
nani kakuambia mpango ni mkatoliki? acha wenge.
Ni mkatoliki pure tena mseminari

Education History :​

School Name/LocationCourse/Degree/AwardFromToLevel
University of Dar es SalaamPh.D Economics19931996PhD
Lund UniversityPh.D Coursework19901992PhD
University of Dar-es-SalaamM.A Economics19861988Masters Degree
University of Dar-es-SalaamB.A (Hons)19811984Bachelor
Ihungo Secondary SchoolACSEE19761977Secondary School
Itaga SeminaryCSEE19741975Secondary School
Ujiji Seminary-19711973Secondary School
Muyama Primary SchoolCPEE19681970Primary School
Kasumo Primary School-19651967Primary School
Kipalapala Primary School-19641965Primary School
 
mbona waislamu wengi tuu wanasoma seminari? kusoma seminari sio sababu ya kuwa mkatoliki.
 
mbona waislamu wengi tuu wanasoma seminari? kusoma seminari sio sababu ya kuwa mkatoliki.
Acha ubishi ujiji seminary (st joseph) na itaga seminary lengo lake ni kuandaa vijana kuwa mapadre hakuna.. mtu asie mkatoliki hawezi kamwe kudahiliwa kwenye hizo shule .

Ni labda asome hapo then badae abadili dhehebu/imani.
N.B unabisha kwenye jambo ambalo unauhakika nalo
 
Nauliza hii imekaaje watoto wa baba mmoja ila wamekuwa na imani tofauti japo wote Wakristu?

View attachment 2089454
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa na Kaka yake, Marehemu Askofu Gerald Mpango​
Mimi Baba mlutheri, Mama Mmoreviani Mimi ni mFull gospel na mdogo wangu anayenifuata ni msabato. Shida iko wapi?
Baba mlutheran,mama muislamu,mimi mlutheran na mdogo wangu mkatoliki na maisha yako poa kabisa.
 
Nijuavyo mimi hawa sio watoto wa baba mmoja. Mmoja amezaliwa kwa mkubwa mwingine kwa mdogo kwa hyo inawezekana baba zao walikuwa madhehebu tofauti
Swali liko palepale, hata hao kina baba si walikuwa mtu na kaka wa baba mmoja?
 
Back
Top Bottom