Kwanini Dkt. Philip Mpango ni Roman Catholic halafu kaka yake Askofu Gerald Mpango alikuwa Anglican?

Kwanini Dkt. Philip Mpango ni Roman Catholic halafu kaka yake Askofu Gerald Mpango alikuwa Anglican?

mbona waislamu wengi tuu wanasoma seminari? kusoma seminari sio sababu ya kuwa mkatoliki.
Tofautisha seminary na mission schools.
Seminary watakudai cheti cha ubatizo mfano Nyegezi seminary na st. joseph na mkifunga unaenda parokiani kwako
kuripoti na kulisaidia kanisa na paroko anasaini barua ambayo huwa wanapewa wanafunzi wakifunga
kuwa alihudhuria shughuli za parokia alipokuwa likizo.
Mission school ni kama Holy family, na Loreto mtu wa dini yeyote anaenda lakini utafuata taratibu za ki-catholic
mda wote uwapo shuleni.
 
Umesema ni wakristo hiyo pekee ni jibu tosha. Kama angekuwa bithist sawa kumbe ni mkristo shida iko wapi?
 
Back
Top Bottom