Shida iko wapi?Duh....na bado huoni shida hapo
Tofautisha seminary na mission schools.mbona waislamu wengi tuu wanasoma seminari? kusoma seminari sio sababu ya kuwa mkatoliki.
Nlikua niku tukane ila ngoja kwanza nikuulize..Nauliza hii imekaaje watoto wa baba mmoja ila wamekuwa na imani tofauti japo wote Wakristu?
View attachment 2089454
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa na Kaka yake, Marehemu Askofu Gerald Mpango
Utampinga kwa menginani kakuambia mpango ni mkatoliki? acha wenge.
Inawezekana huenda kafanya kosa kuuliza utofauti wa ki-madhehebu kati ya Dr Philip na kakake. Ila Ukweli unabaki pale pale kuwa, Isidor ni mkatoliki kindaki ndaki.nani kakuambia mpango ni mkatoliki? acha wenge.