Eboo
Member
- Aug 22, 2019
- 46
- 68
Wakuu habari?
Kumekuwa na minong’ono mingi mitaani na vijiweni kuhusu jina linaloendelea kuonekana kwenye teuzi mbalimbali za serikali – Dkt. Nyansaho. Wengi wanajiuliza: Ni nani huyu Dkt. anayemvutia Rais Samia mara kwa mara? Kwanini kila nafasi nyeti ya kimkakati anakuwemo?
Baadhi ya maswali ambayo yamekuwa yakiulizwa ni haya:

- Kwanini Rais Samia anamwamini sana Dkt. Nyansaho?
- Je, ni kutokana na uwezo wake wa kitaaluma, au kuna "chemistry" fulani ya kisiasa kati yao?
- Kuna tetesi kwamba Dkt. huyu ni mmoja wa washauri wasiosikika lakini wenye ushawishi mkubwa ndani ya system.
- Ndoto za Ubunge Serengeti-Mara
- Vyanzo vya ndani vinadai kwamba Dkt. Nyansaho ana mpango kabambe wa kugombea ubunge Jimbo la Serengeti 2025.
- Anaungwa mkono na baadhi ya wazee wa mkoa na vijana, lakini pia kuna minong’ono kwamba anatumia nafasi za teuzi kama “launchpad” ya kisiasa.
- Teuzi zisizokatika – bahati au mkakati?
- Kwa miaka kadhaa sasa, Dkt. amekuwa akihusishwa na nafasi mbalimbali serikalini – nyingine zikiwa za muda mfupi lakini zenye uzito mkubwa.
- Je, kuna kundi fulani nyuma yake linalomsukuma ama kumlinda?