Kwanini Dkt. Tulia asigombee Ubunge Rungwe (Tukuyu) ambako atashinda kirahisi kuliko Mbeya Mjini?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tuwe tu wakweli Kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki kumshinda Sugu Moto Chini kunahitaji timing

Nionavyo Dkt. Tulia atashinda kirahisi zaidi Rungwe

Pale Upanga CCC enzi za Bishop Prof Mwenisongole wakati wa kuwapeleka Watumishi Kwenye Missions nzito kule Ruangwa Lindi, Congo na Rwanda tulikuwa tunawasindikiza na Wimbo wa Tenzi za Rohoni uitwao Bwana Uliyewaita!

Jumaa kareem
 
Sugu tushampa taarifa mapema kabisa asije akaanza kulia lia, sugu kagombee songwe Kama unataka ubunge, hapo mjini Dr tulia bado hajamaliza kazi aliyotumwa na serikali.
 
Tuwe tu wakweli Kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki kumshinda Sugu Moto Chini kunahitaji timing

Nionavyo Dr Tulia atashinda kirahisi zaidi Rungwe

Pale Upanga CCC enzi za Bishop Prof Mwenisongole wakati wa kuwapeleka Watumishi Kwenye Missions nzito kule Ruangwa Lindi, Congo na Rwanda tulikuwa tunawasindikiza na Wimbo wa Tenzi za Rohoni uitwao Bwana Uliyewaita!

Jumaa kareem
Mh kwan kauli mbiu c itakua ileile... Namtaka flan, nichagulien flan? Au zama hizi ushind mpaka upambane mpaka itoke na nyama?
 
Tuwe tu wakweli Kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki kumshinda Sugu Moto Chini kunahitaji timing

Nionavyo Dr Tulia atashinda kirahisi zaidi Rungwe

Pale Upanga CCC enzi za Bishop Prof Mwenisongole wakati wa kuwapeleka Watumishi Kwenye Missions nzito kule Ruangwa Lindi, Congo na Rwanda tulikuwa tunawasindikiza na Wimbo wa Tenzi za Rohoni uitwao Bwana Uliyewaita!

Jumaa kareem
Bwashee Tulia amepelekwa pale kimkakati ili sugu abaki mtaani avute shisha tu anajipendekeza kwa rais ili tulia aende huko unakosema ila mambo ya chama ni magumu sana zaidi ya serikali

USSR
 
Wewe ni Mkazi wa Mbeya ? usiandike kitu kama hujui , kama mnataka kumdhalilisha dada wa watu endeleeni kufanya masihara
 
Sio muda wa kugombea ubunge huu, ni muda wa kuwatumikia wananchi. Sugu nae kazi yake ni muziki wa kufokafoka, ajikite huko
 
Sugu hawezi kwa Tulia. In short CCM wanakwenda kuchukua mkoa mzima wa Mbeya.
Hakuna chaguzi ngumu kwa CCM kama 2025? Mafisadi yote haya, Bado shida za umeme, Maji, gharama za maisha Kuna mwenye akili timamu ataipigia kura CCM huko Mbeya? Tena mama akijiroga mchakato wa katiba mpya ukakamilika mwakani basi jua hiyo 2025 mtatafutana kama 2015.
 
Tuwe tu wakweli Kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki kumshinda Sugu Moto Chini kunahitaji timing

Nionavyo Dr Tulia atashinda kirahisi zaidi Rungwe

Pale Upanga CCC enzi za Bishop Prof Mwenisongole wakati wa kuwapeleka Watumishi Kwenye Missions nzito kule Ruangwa Lindi, Congo na Rwanda tulikuwa tunawasindikiza na Wimbo wa Tenzi za Rohoni uitwao Bwana Uliyewaita!

Jumaa kareem
Yaani hawashinde Jeshi la Polisi,CCM na tume ya Uchaguzi ya Mahela!!
 
Wewe ni Mkazi wa Mbeya ? usiandike kitu kama hujui , kama mnataka kumdhalilisha dada wa watu endeleeni kufanya masihara
Hizi kauli zako tangu2019 hadi leo sugu ananyilewa nywele aende kwao akagombea wasomi wa Mbeya hawataki kuongozwa na form two sugu wewe uko Zambia kelele tu mnyamanyafu wewe

USSR
 
Hakuna chaguzi ngumu kwa CCM kama 2025? Mafisadi yote haya, Bado shida za umeme, Maji, gharama za maisha Kuna mwenye akili timamu ataipigia kura CCM huko Mbeya? Tena mama akijiroga mchakato wa katiba mpya ukakamilika mwakani basi jua hiyo 2025 mtatafutana kama 2015.
Wapinzani wanatatizo za ku overestimated uwezo wao na ku underestimate uwezo wa CCM.
 
Back
Top Bottom