Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Ccm watachukua hadi Tunduma ?Sugu hawezi kwa Tulia. In short CCM wanakwenda kuchukua mkoa mzima wa Mbeya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm watachukua hadi Tunduma ?Sugu hawezi kwa Tulia. In short CCM wanakwenda kuchukua mkoa mzima wa Mbeya.
Jifunze kuandika kwanzaNasikia eti sugu analudi ujinga kwao
Uchaguzi haukuwa wa hakiKwani 2020 aligombea nani
Mawazo ya kijima hayo.Tuwe tu wakweli Kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki kumshinda Sugu Moto Chini kunahitaji timing
Nionavyo Dkt. Tulia atashinda kirahisi zaidi Rungwe
Pale Upanga CCC enzi za Bishop Prof Mwenisongole wakati wa kuwapeleka Watumishi Kwenye Missions nzito kule Ruangwa Lindi, Congo na Rwanda tulikuwa tunawasindikiza na Wimbo wa Tenzi za Rohoni uitwao Bwana Uliyewaita!
Jumaa kareem
Nimeabudu mahali pale wakati fulani!Mkuu kumbe una historia mpaka kwenye missions za umisheni kwa Mwenisongole?
Mkuu, umenigusa sana huu wimbo huwa una hisia kali sana wakati unaibwa, unakuandaa kupokea majukumu makubwa ya kiroho yaliyo mbele yako. Ila kwa huyu maza kwa kweli ni ushauri mzuri - unless mama na yeye aamue kumsaidia kwa kuvunja kanuni.
Siasa haziko hivyo!Mawazo ya kijima hayo.
Sugu wa Swaga kawa mbunge miaka 10, na hana lolote la kuonyesha alilofanya bungeni zaidi ya kidole cha kati.
Tulia miaka mitano tu barabara zinajengwa.
Sugu wa Swaga agombee udiwani kata yake ili awaibie mistari watakdo mchagua.
Hata Rungwe huyo njiti hapati kitu ni yule mwovu tu alimweka hapo alipo kwa mitutu ya bundukiTuwe tu wakweli Kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki kumshinda Sugu Moto Chini kunahitaji timing
Nionavyo Dkt. Tulia atashinda kirahisi zaidi Rungwe
Pale Upanga CCC enzi za Bishop Prof Mwenisongole wakati wa kuwapeleka Watumishi Kwenye Missions nzito kule Ruangwa Lindi, Congo na Rwanda tulikuwa tunawasindikiza na Wimbo wa Tenzi za Rohoni uitwao Bwana Uliyewaita!
Jumaa kareem
Bwashee Tulia amepelekwa pale kimkakati ili sugu abaki mtaani avute shisha tu anajipendekeza kwa rais ili tulia aende huko unakosema ila mambo ya chama ni magumu sana zaidi ya serikali
USSR
🤣🤣🤣🤣 ujingaJifunze kuandika kwanza
Wakati unalilia siasa za Sugu wa Swaga , sisi tunalilia maendeleo na TuliaSiasa haziko hivyo!
Washenzi Hawa wanaona wivu na Mbeya yaani wanataka Tulia aende huko porini Ili wawe wanapost picha za kuponda Jiji la Mbeya..Wakati unalilia siasa za Sugu wa Swaga ,sisi tunslilia maendeleo ya Tulia
ana kitu gani ambacho aliyepo RUNGWE kwa sasa hana?Tuwe tu wakweli Kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki kumshinda Sugu Moto Chini kunahitaji timing
Nionavyo Dkt. Tulia atashinda kirahisi zaidi Rungwe
Pale Upanga CCC enzi za Bishop Prof Mwenisongole wakati wa kuwapeleka Watumishi Kwenye Missions nzito kule Ruangwa Lindi, Congo na Rwanda tulikuwa tunawasindikiza na Wimbo wa Tenzi za Rohoni uitwao Bwana Uliyewaita!
Jumaa kareem
Ni kweli, wana underestimate uwezo wa CCM kutumia Polisi na TisiWapinzani wanatatizo za ku overestimated uwezo wao na ku underestimate uwezo wa CCM.
Ana Uspika!ana kitu gani ambacho aliyepo RUNGWE kwa sasa hana?
Acha kujishushia hadhi.
MATAGA now CHAWA mna utindio , Ndugai naye alikuwa nao, yu wapi?Ana Uspika!
Wamezoea kudanganyanaWewe ni Mkazi wa Mbeya ? usiandike kitu kama hujui , kama mnataka kumdhalilisha dada wa watu endeleeni kufanya masihara