Kwanini Dkt. Tulia asigombee Ubunge Rungwe (Tukuyu) ambako atashinda kirahisi kuliko Mbeya Mjini?

Kwanini Dkt. Tulia asigombee Ubunge Rungwe (Tukuyu) ambako atashinda kirahisi kuliko Mbeya Mjini?

Akienda huko porini Mbeya mjini tutapoteza miradi Mingi,uwepo wake unaleta maendelea Mbeya
 
Tuwe tu wakweli Kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki kumshinda Sugu Moto Chini kunahitaji timing

Nionavyo Dr Tulia atashinda kirahisi zaidi Rungwe

Pale Upanga CCC enzi za Bishop Prof Mwenisongole wakati wa kuwapeleka Watumishi Kwenye Missions nzito kule Ruangwa Lindi, Congo na Rwanda tulikuwa tunawasindikiza na Wimbo wa Tenzi za Rohoni uitwao Bwana Uliyewaita!

Jumaa kareem
CCM Strategy + TISS Strategy = Tulia and Mbeya Mjini Victory. Kama hujaielewa hii Hesabu basi huwezi kuwa Competent Mathematician Ndugu.
 
Jiji pekee ambalo CCM ina uwezo wa kushinda kwa urahisi ni Dodoma tu.

CCM majimbo yake ya ushindi wa halali ni majimbo ya vijijini. Majiji na manispaa, watapata machache sana.
Nipo mbeya mjini tulia anashinda mapema Sana anapeleka Maendeleo Kwa kasi Sana na serikali Sasa hivi wamekuwa karibu na wananchi kuliko kipindi kingine Sugu asitegemee mseleleko
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Tuwe tu wakweli Kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki kumshinda Sugu Moto Chini kunahitaji timing

Nionavyo Dkt. Tulia atashinda kirahisi zaidi Rungwe

Pale Upanga CCC enzi za Bishop Prof Mwenisongole wakati wa kuwapeleka Watumishi Kwenye Missions nzito kule Ruangwa Lindi, Congo na Rwanda tulikuwa tunawasindikiza na Wimbo wa Tenzi za Rohoni uitwao Bwana Uliyewaita!

Jumaa kareem
Mkuu kumbe una historia mpaka kwenye missions za umisheni kwa Mwenisongole?
 
Mh. Kumuondoa Tulia hapo ni sawa na kuiangusha serikali jambo ambalo sidhani kama watapenda kuliona.

Sugu apambanie PHD kwenye muziki kama Babu Tale.
 
Uzuri wao usipowachagua wanajichagua wenyewe....ivyo wakiamua kushinda hatutowazuia
 
Bwashee Tulia amepelekwa pale kimkakati ili sugu abaki mtaani avute shisha tu anajipendekeza kwa rais ili tulia aende huko unakosema ila mambo ya chama ni magumu sana zaidi ya serikali

USSR
Sugu hatarajii kupitishwa na Rais SSH kwenye kura za maoni. Ajipendekeze huko ili iweje?!
 
Pale Upanga CCC enzi za Bishop Prof Mwenisongole wakati wa kuwapeleka Watumishi Kwenye Missions nzito kule Ruangwa Lindi, Congo na Rwanda tulikuwa tunawasindikiza na Wimbo wa Tenzi za Rohoni uitwao Bwana Uliyewaita!
Mkuu, umenigusa sana huu wimbo huwa una hisia kali sana wakati unaibwa, unakuandaa kupokea majukumu makubwa ya kiroho yaliyo mbele yako. Ila kwa huyu maza kwa kweli ni ushauri mzuri - unless mama na yeye aamue kumsaidia kwa kuvunja kanuni.
 
Back
Top Bottom