johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mh kwan kauli mbiu c itakua ileile... Namtaka flan, nichagulien flan? Au zama hizi ushind mpaka upambane mpaka itoke na nyama?Tuwe tu wakweli Kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki kumshinda Sugu Moto Chini kunahitaji timing
Nionavyo Dr Tulia atashinda kirahisi zaidi Rungwe
Pale Upanga CCC enzi za Bishop Prof Mwenisongole wakati wa kuwapeleka Watumishi Kwenye Missions nzito kule Ruangwa Lindi, Congo na Rwanda tulikuwa tunawasindikiza na Wimbo wa Tenzi za Rohoni uitwao Bwana Uliyewaita!
Jumaa kareem
Bwashee Tulia amepelekwa pale kimkakati ili sugu abaki mtaani avute shisha tu anajipendekeza kwa rais ili tulia aende huko unakosema ila mambo ya chama ni magumu sana zaidi ya serikaliTuwe tu wakweli Kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki kumshinda Sugu Moto Chini kunahitaji timing
Nionavyo Dr Tulia atashinda kirahisi zaidi Rungwe
Pale Upanga CCC enzi za Bishop Prof Mwenisongole wakati wa kuwapeleka Watumishi Kwenye Missions nzito kule Ruangwa Lindi, Congo na Rwanda tulikuwa tunawasindikiza na Wimbo wa Tenzi za Rohoni uitwao Bwana Uliyewaita!
Jumaa kareem
Wewe ni Mkazi wa Mbeya ? usiandike kitu kama hujui , kama mnataka kumdhalilisha dada wa watu endeleeni kufanya masiharaBwashee Tulia amepelekwa pale kimkakati ili sugu abaki mtaani avute shisha tu anajipendekeza kwa rais ili tulia aende huko unakosema ila mambo ya chama ni magumu sana zaidi ya serikali
USSR
Ametumwa na serikali?!Sugu tushampa taarifa mapema kabisa asije akaanza kulia lia, sugu kagombee songwe Kama unataka ubunge, hapo mjini Dr tulia bado hajamaliza kazi aliyotumwa na serikali.
Ndio serikali kuu bado ina mission naye.Ametumwa na serikali?!
Hakuna chaguzi ngumu kwa CCM kama 2025? Mafisadi yote haya, Bado shida za umeme, Maji, gharama za maisha Kuna mwenye akili timamu ataipigia kura CCM huko Mbeya? Tena mama akijiroga mchakato wa katiba mpya ukakamilika mwakani basi jua hiyo 2025 mtatafutana kama 2015.Sugu hawezi kwa Tulia. In short CCM wanakwenda kuchukua mkoa mzima wa Mbeya.
Kwani saivi wamechukua nusu?!Sugu hawezi kwa Tulia. In short CCM wanakwenda kuchukua mkoa mzima wa Mbeya.
Kwa hivyo Tulia ni mbunge wa serikali....?Sugu tushampa taarifa mapema kabisa asije akaanza kulia lia, sugu kagombee songwe Kama unataka ubunge, hapo mjini Dr tulia bado hajamaliza kazi aliyotumwa na serikali.
Yaani hawashinde Jeshi la Polisi,CCM na tume ya Uchaguzi ya Mahela!!Tuwe tu wakweli Kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki kumshinda Sugu Moto Chini kunahitaji timing
Nionavyo Dr Tulia atashinda kirahisi zaidi Rungwe
Pale Upanga CCC enzi za Bishop Prof Mwenisongole wakati wa kuwapeleka Watumishi Kwenye Missions nzito kule Ruangwa Lindi, Congo na Rwanda tulikuwa tunawasindikiza na Wimbo wa Tenzi za Rohoni uitwao Bwana Uliyewaita!
Jumaa kareem
Ni mbunge wa nini kwani?Kwa hivyo Tulia ni mbunge wa serikali....?
Mindset mbovu
Hizi kauli zako tangu2019 hadi leo sugu ananyilewa nywele aende kwao akagombea wasomi wa Mbeya hawataki kuongozwa na form two sugu wewe uko Zambia kelele tu mnyamanyafu weweWewe ni Mkazi wa Mbeya ? usiandike kitu kama hujui , kama mnataka kumdhalilisha dada wa watu endeleeni kufanya masihara
Wapinzani wanatatizo za ku overestimated uwezo wao na ku underestimate uwezo wa CCM.Hakuna chaguzi ngumu kwa CCM kama 2025? Mafisadi yote haya, Bado shida za umeme, Maji, gharama za maisha Kuna mwenye akili timamu ataipigia kura CCM huko Mbeya? Tena mama akijiroga mchakato wa katiba mpya ukakamilika mwakani basi jua hiyo 2025 mtatafutana kama 2015.