Kwanini Dkt. Tulia asigombee Ubunge Rungwe (Tukuyu) ambako atashinda kirahisi kuliko Mbeya Mjini?

Mawazo ya kijima hayo.
Sugu wa Swaga kawa mbunge miaka 10, na hana lolote la kuonyesha alilofanya bungeni zaidi ya kidole cha kati.

Tulia miaka mitano tu barabara zinajengwa.
Sugu wa Swaga agombee udiwani kata yake ili awaibie mistari watakdo mchagua.
 
Mwaka e2010 sugu alimshinda mwalimu wake wa secondary Benson mpesya Kwa kula 46000 dhidi ya 24000
Mwaka 2015 Sugu alimshinda Sambwe shitambala Kwa kupata kura 153000 dhid 46000
Mwaka 2020 kama usingekuwa ni uchaguzi wa kubebana tulia asingefikisha kura zaidi ya 55000
Najua wengi hamuifahamu mbeya but Jiji hili halina ufungamani na ccm hiyo tangu 1995 na baada ya kuja mfumo wa vyama vingi .
Tulia akson anategemea nguvu ya Dola ila naamini tuondako mtajionea wenyewe namna atakavyo Anza kupaniki.
Mwisho tulia sio chaguo la Wana mbeya
 
Mkuu, umenigusa sana huu wimbo huwa una hisia kali sana wakati unaibwa, unakuandaa kupokea majukumu makubwa ya kiroho yaliyo mbele yako. Ila kwa huyu maza kwa kweli ni ushauri mzuri - unless mama na yeye aamue kumsaidia kwa kuvunja kanuni.
Amen
 
Siasa haziko hivyo!
 
Hata Rungwe huyo njiti hapati kitu ni yule mwovu tu alimweka hapo alipo kwa mitutu ya bunduki
 
Amepelekwa na nani?
Bwashee Tulia amepelekwa pale kimkakati ili sugu abaki mtaani avute shisha tu anajipendekeza kwa rais ili tulia aende huko unakosema ila mambo ya chama ni magumu sana zaidi ya serikali

USSR
 
Wakati unalilia siasa za Sugu wa Swaga ,sisi tunslilia maendeleo ya Tulia
Washenzi Hawa wanaona wivu na Mbeya yaani wanataka Tulia aende huko porini Ili wawe wanapost picha za kuponda Jiji la Mbeya..

Tulia anagombea hapa hapa Jijini na lazima apite Ili tupate maendelea yenye hadhi ya Jiji.

Barabara tayari Bado stand ya Kisasa,soko ya Kisasa,alisema Hospital ya ocean Road tawi la Mbeya,Chuo Kikuu Cha Udsm na hospital ya kufundishia tawi la Mbeya..

Baada ya hapo Sasa anaweza staafu ubunge.
 
ana kitu gani ambacho aliyepo RUNGWE kwa sasa hana?
Acha kujishushia hadhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…