Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kwani Gaza ni dunia? Mbona haijihusishi na ya DRC wala CAR? Waswahili kwa kujidhalilisha na kushabikia ya wenzao ima kwa misingi ya dini au kujikomba sina hamu. Ni wapalestina hawa hawa waliwahi kutuuzia ndege mbovu ukiachia mbali kuwakamata baadhi wakipigana upande wa Amin wakati wa vita ya Kagera. Waarabu, wahindi na wazungu si watu wa kupotezea muda. Wabauzi na Munafiquun kabir.Habari wadau..!
Nimewaza hivi kwa nn dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea huko Gaza..?
Binafsi toka nazaliwa nimekuwa nikisikia Gaza mpaka nakuwa mtu mzima na watoto na watoto wanaelekea kupata nao watotot bado wimbo ni Gaza .
Je kwa nini dunia haitaki kabisa kujihusisha wala kutafuta suluhu ya Gaza katika mgogoro wa Palestinians na Israel?
Tangu nimezaliwa juzi tu ndio nimesikia Waislam wa Kenya wakiandamana kupinga kile kinachotokea Gaza ,je kwa nini wengine hawapazi sauti wala kutoa pole ?