Kwanini dunia inamchukulia Adolf Hitler kama kiongozi katili katika historia ya Dunia?


Hata Waingereza waliwatumia watoto vitani. Mimi babu yangu alipenlekwa Burma akiwa na miaka 14 tu!
 

Mkuu HE General Idd Amin Dada (CBE, VSO, DSO, LFPU, VC) hakuzaliwa mwaka 1952 kama ulivyoandika bali alizaliwa mwaka 1925. Pia, hakuwa mtu mbaya wala katili kama ulivyoaminishwa.
 
Aliyeandima story ndio kaamua Hitler awe dikiteta. ILa Hitler ni moja ya viongozi bora kuwahi kutokea ujerumani na ndio aliyeinyanyua German
 
Aliyeandima story ndio kaamua Hitler awe dikiteta. ILa Hitler ni moja ya viongozi bora kuwahi kutokea ujerumani na ndio aliyeinyanyua German
Hitler hakuinyanyua ujerumani aliikuta iko juu kwani vita ya kwanza ujerumani ilipigana na nchi zingine za ulaya ingawa mchango wake kwenye Maendeleo ya ujerumani siyo haba,likiwamo gari lisilopozwa na maji na matayalisho ya haraka ya vita ilikulipa kisasi,ndani ya miaka saba ujerumani ilikuwa tayari kwa timbwiri jingine dhidi ya dunia kama tulivyoona.
 
Kwa sababu ndiye aliyesababisha vita vikuu vya pili vya dunia
 
Idd Amin Dada hakuzaliwa mwaka 1952 na wala hakuwa katili. Tuwekee hapa data za ukatili wake ikiwa unasema kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…