Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mawaziri wa fedha katika nchi nyingi Duniani hawana historia yakuwa Marais wa Nchi. Lakini ni mawaziri wachache wa fedha ambao upendwa na wananchi baada ya kushika wadhifa huo.
Ni zipi zinaweza kuwa sababu za viongozi hawa wa potifolio muhimu serikalini kutoaminika na kupewa nafasi ya juu?
Ni kwanini waaminike kusimamia hazina ya nchi lakini wasiaminike kusimamia na kuongoza wananchi?