Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Ila siyo Rais wa nchi!Dr Phillip Mpango ni Makamo wa Rais usisahau.
Anaweza pia kuwa ......ikitokea....Ila siyo Rais wa nchi!
Nazungumzia Urais wakipitishwa katika mfumo wa kisiasa Eg kupitishwa na chama na kwenda kwa wapiga kura
Nazungumzia kuaminiwa na umma kuongoza nchi
Huyu wa mawe bado ana hizo ndotoMawaziri wa fedha katika nchi nyingi Duniani hawana historia yakuwa Marais wa Nchi. Lakini ni mawaziri wachache wa fedha ambao upendwa na wananchi baada ya kushika wadhifa huo.
Ni zipi zinaweza kuwa sababu za viongozi hawa wa potifolio muhimu serikalini kutoaminika na kupewa nafasi ya juu?
Ni kwanini waaminike kusimamia hazina ya nchi lakini wasiaminike kusimamia na kuongoza wananchi?