TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Nakumbuka toka mwaka 1995 kuna huyu mzee Juma Magoma amekuwa na migogoro ndani ya club ya Yanga Afrika.
Huyu mzee Magoma anadai anaipinga katiba ambayo alikuwepo na kukubali ipitishwe, ila ameonekana anatengwa kwenye meza ya mfalme, wakati wa uongozi ndg George Mpondela aliwahi kuleta vurugu.
Huyu mzee ametengwa bwana na uongozi wa Eng. Hersi hivyo mzee anaenda mahakama za kiraia kutaka uongozi uondolewe, kwa nini mzee Magoma analeta hii sasa?.
Kuna watu pembeni yake (wazee) na wengine si wazee wanaona mafanikio ya team wanaamua kutaka kuivuruga.
...etc