Kwanini Eng. Hersi hatakiwi Yanga kwa Sasa? Jibu Hili Hapa

Kwanini Eng. Hersi hatakiwi Yanga kwa Sasa? Jibu Hili Hapa

Huyu mzee anatakiwa achapwe viboko hadharani, atakua amechukua hela kwa MUDDY awavuruge Yanga
Kiuni, huyu mzee anafaa kuwa supu, haki ya mama.
Hivi anamalengo mema na Yanga ama anapigania tumbo lake tu.
 
Huyu mzee alikuwa anaishi Magomeni miaka ya 90 mwanzoni ni mpuuzi mmoja hivi
 
Nakumbuka toka mwaka 1995 kuna huyu mzee Juma Magoma amekuwa na migogoro ndani ya club ya Yanga Afrika.

Huyu mzee Magoma anadai anaipinga katiba ambayo alikuwepo na kukubali ipitishwe, ila ameonekana anatengwa kwenye meza ya mfalme, wakati wa uongozi ndg George Mpondela aliwahi kuleta vurugu.

Huyu mzee ametengwa bwana na uongozi wa Eng. Hersi hivyo mzee anaenda mahakama za kiraia kutaka uongozi uondolewe, kwa nini mzee Magoma analeta hii sasa?.

Kuna watu pembeni yake (wazee) na wengine si wazee wanaona mafanikio ya team wanaamua kutaka kuivuruga.

...etc
Magoma ameikataa hiyo barua, anadai kwanza haikutakiwa kutoka anataka kwenda Mahakamani kuihoji Mahakama ili kujis ni nani aametoa hizo taarifa, maana hukumu anayo tangu mwaka jana na haikuwahi kuvuja, pia kwa hali ya timu ilipo sada na inavyoganya viziti hakutaka hizo sintofahamu, anashangaa hizo habari za mitandaoninzimetika wapi na anadai hiyo ya mitandaoni haitambui.


View: https://youtu.be/-V5vFcz77B8?si=wEb8ktlAdhadpQFj
 
Magoma ameikataa hiyo barua, anadai kwanza haikutakiwa kutoka anataka kwenda Mahakamani kuihoji Mahakama ili kujis ni nani aametoa hizo taarifa, maana hukumu anayo tangu mwaka jana na haikuwahi kuvuka, hiyo ya mitandaoni haitambui.
Huyu ni chizi, wewe hapo umemuelewa? ulimwengu wa digitali anashanngaa kitu kuvuja?

Hoja alifunguwa case au hapana?
 
Duuh yaani kwa mafanikio haya
Hersi aondoke kweli 🙄
Tanzania tulipofikia sasa pabaya
Uchawi wa live live huu
Wanataka nini sasa
Wapewe wao timu au
Hersi kaingia kwa mchongo, na mambo ya mchongo hayadumu
 
Hao ndo wazee wanaojielewa.sio mzee mpili anawashobokea jisiem
Mzee anataka dollari mambo mengine ni siku ijayo, hao wazee wako wanataka bakuru lirudi ili wawe wanajichotea, sasa hivi wamebanwa hasa!
 
Huu upande haujawahi kudumu na furaha.


Mliambiwa watoeni mzee Jakaya na Sunday pekee.
 
Back
Top Bottom