Kwanini Eng. Hersi hatakiwi Yanga kwa Sasa? Jibu Hili Hapa

Nchi inawazee baadhi wa Hovyo Sanaa,vimejaa njaa vimeshindwa kutafuta pesa ujanani kazi kuhonga tu Sasa vinaleta fitina Ili vipate ulaji(njaa) tupu. Viva Hersie
Gen - Z wa Tanzania wasiojua haki wa hata kujua kuipigania! Utaratibu wa kupata haki unawataka wakate rufaa mahakama ya juu ndani ya muda wa kukata rufaa kisheria. Zingine ni kelele tu.
 
Nchi inawazee baadhi wa Hovyo Sanaa,vimejaa njaa vimeshindwa kutafuta pesa ujanani kazi kuhonga tu Sasa vinaleta fitina Ili vipate ulaji(njaa) tupu. Viva Hersie
Hujui maana sheria na utaratibu mkuu.

Eng Hersi ni jembe sana ila linapokuja suala la kufata sheria na taratibu lazima likulambe tu kama umezivunja.
 
Hers ni tapeli yule. Wazee wamegoma kutapeliwa timu yao wangali hai .
 
Huyu mzee pimbi sana.
 
Acha matusi toa hoja
 
Acha matusi toa hoja
Nimeziweka au ww una zako? Zangu hizo hapo zako je.

Yy alitaka kama taw8 lina wanachama mia basi wote,wapige kura.Anaulizwa je shida ya uongozi, katiba......? Anadai shida yake ni baraza la wadhamini. Anauliza tena kesi iliamuliwa mwaka jana why hii hukumu ibuke mwaka huu, anadai hata yy mwenyewe hajui aliye ipost hiyo nakala ya hukumu mwaka jana kwenye mitandao.
 
 
Huyu mzee pimbi sana.
Katumwa ila hafiki mbali.

Jana baada ya kuona moto unawaka kwa kasi akaanza kutoa mikwara, atakayemgusa atapatavcha mtema kuni, mara akifa albadiri itamuhusu aliyemuua, mara wanangu nishawapa husia nikifa gafla!.


Yaani anapata taabu sana hivi sasa πŸ˜…!.
 
Mjinga sana.
 
hajui lolote kuhusu representative demokracy huyu. kifupi kichwani hamna kitu. yaani wanachama woooote wakachague na kuchaguliwa itwezekana vipi sasa? mbona bungeni hatuendi wote kama ni hivyo?
 

Naona GB 64 naye atakuja kuwa kama MZEE MAGOMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…