JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Kwenye ugumu sina shaka ila tungeingia ndani zaidi kwenye uchambuzi juu ya hizi engine za FE kudumu zaidi, Binafsi nadhani mojawapo ya sababu ni kwamba zimezoeleka sana na mafundi
Engine ina less moving parts. Tegemea less failure.