Kwanini Eva hakushtuka alipoanza kusemeshwa na nyoka pale bustani ya Eden?

Kwanini Eva hakushtuka alipoanza kusemeshwa na nyoka pale bustani ya Eden?

Ni kama tu pazi ambapo hakustuka aliposemeshwa na jogoo kuhusiana na tabia yake ya kuwabeba kuku kichwa chini miguu juu.
Biblia imeandika kweli tupu. Hapa tunajaribu kutafuta uhalisia wa kipindi hicho. Kwanini yule mama hakushtuka kusemeshwa na mnyama.
 
Pale bustanini walikuwa watu wawili. Unadhani alikuja na umbo gani? Na kwanini Mungu alimhukumu nyoka kama hakuja na umbo la nyoka?
Nyoka na binadamu waliwahi zungumza wakaelewana haijawahi tokea maandishi ya kwenye vitabu vitakatifu ni fumbo ili kuelewa utulize akili.kumbuka chetani asili yake ni nyoka ila anauwezo kujibadilisha na kuwa kwenye muonekano wa binadamu.
 
Biblia imeandika kweli tupu. Hapa tunajaribu kutafuta uhalisia wa kipindi hicho. Kwanini yule mama hakushtuka kusemeshwa na mnyama.
Adam na Eve stories ni animistic tu kama Panya mabaka na genge lake

Sio tu Eva, upo mfano mwingine ambapo ukisoma Numbers 22 utaona kuna punda aliongea na kuna mtu alikuwepo na hakushtuka
 
80.jpg
 
Nyoka na binadamu waliwahi zungumza wakaelewana haijawahi tokea maandishi ya kwenye vitabu vitakatifu ni fumbo ili kuelewa utulize akili.kumbuka chetani asili yake ni nyoka ila anauwezo kujibadilisha na kuwa kwenye muonekano wa binadamu.
Lengo la kufanya mafumbo ninini? Mtego ili watu wasielewe, wafanye yasiyopaswa kufanywa?
 
Biblia inasema '..... basi nyoka alikuwa mwerevu......' hvy kwa namna yoyote ile nyoka alikuwa anaupiga mwingi huko kwa bustani.
Imagine nyoka alipewa akili kuliko binadamu. At the same time binadamu akapewa uwezo wa kutawala viumbe vyote.

Aliyekula tunda ni mtu (Adamu na Hawa) hawa wanyama wanaokufa walikosa nini
 
Back
Top Bottom