Kwanini Eva hakushtuka alipoanza kusemeshwa na nyoka pale bustani ya Eden?

Kwanini Eva hakushtuka alipoanza kusemeshwa na nyoka pale bustani ya Eden?

Kama Mungu alifahamu nyokaa au shetani ata washawishi wale tunda(maana yeye anafahamu sasa na yajayo). Ikiwaje akaweka mti wa tunda la kati. Iweje akawafukuza bustanini
Aliweka mti kama ishara ya kumkumbusha amri ya Mungu. Aliwafukuza kwasababu kulikuwa na mti wa uzima pale na kama wangeenda kula matunda yake basi wangeishi milele katika mwili.

Pia isingewezekana kuleta ukombozi kwasababu mwanadamu angekuwa tayari anao uzima wa milele kwenye mwili wake akiwa katika uasi.
 
Unanikosea adabu kwanza mi si mjinga pili mi sio mdogo wako!
Mdogo angu sanaaaa....kuna siku moja ulijichanganya vibaya sana ukaji expose kwanye michango ya nyuz nyuz hiz hapa jukwaan..kuwa makin kila unapopita watu wanamulika af wanatulia..nikitulia ntafukua hilo kaburi
 
Twende taratibu we ni me au ke..?
 
Twende taratibu we ni me au ke..?
Ahahahaha...would it matter chief, considering age is about numbers not gender????

And hilo kulifaham ni rahis hata nisipokupa jibu...u can have that mdogo ang 😂😂
 
Ahahahaha...would it matter chief, considering age is about numbers not gender????

And hilo kulifaham ni rahis hata nisipokupa jibu...u can have that mdogo ang 😂😂
Aisee mbona wajiona hivyo mkuu! Wewe ndo mdogo wangu tuliza hilo komwe takudusua!
 
Mungu alimpa ADAMU UTAWALA juu ya viumbe vyote,so hapakuwa na kiumbe cha kumtisha kwani na alikuwa anawasiliana nao, kumbuka huu uwezo pia alikuwa na mfalme SULEIMAN
Mkuu hili la kuwasiliana nao umelitoa wapi? Na la sulemani ni jipya kwangu.
 
Scenario mbili tofauti. Amri ilikuwa ni "wasile tunda watakufa" wanyama waliingiaje kifoni.
Scenario ni ileile, mtawala ambaye ni mwanadamu ameasi makao makuu sasa madhara yameenda kwenye eneo lote alilokabidhiwa kutawala.
 
Mkuu imani yoyote haitaki sana akili.🤣 Hata hivyo hilo tukio ni la kweli. Kinachoshangaza ni kwanini bibi yetu hakushtuka.
Ukiona kitu hakihitaji akili jua ni upigaji. Utapigwa tu. Huyo aliyeandika stori za adamu na eva tuna uhakika gani hakuwa anaota ndoto?? BTW Subiri wana wa Israeli kutoka nanjilinji watakupa majibu
 
Back
Top Bottom