Kwanini Eva hakushtuka alipoanza kusemeshwa na nyoka pale bustani ya Eden?

Kwanini Eva hakushtuka alipoanza kusemeshwa na nyoka pale bustani ya Eden?

isije ikawa nyoka anaezungumziwa ni huyu hapa chini. Maana akiamua kukuingiza kwenye msala. Utakujaju juta akisha haribu ananywea anajifanya tukio halimhusu kabisa.
Anakuponza mazima wakati asali alikula yeye. Na sometimes wewe ulikuwa huhitaji ni kiherehere chake.
Acha mizaha

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Thibitisha
Biblia imeandika yale tu yaliyokuwa significant kwa ajili ya kuelezea mpango wa Mungu. Kwamfano watoto wa Adam wanatajwa watatu tu na wengine inaandikwa tu akazaa watoto wa kiume na wakike kwasababu hao hawakuwa significant kwenye kuuelezea mpango wa Mungu.

Ukisoma historical extra biblical materials na fasihi simulizi kule Israel inaaminika kaini alizaliwa pacha na dada yake na vivyo hivyo kwa habili japo biblia haikuwataja.
 
isije ikawa nyoka anaezungumziwa ni huyu hapa chini. Maana akiamua kukuingiza kwenye msala. Utakujaju juta akisha haribu ananywea anajifanya tukio halimhusu kabisa.
Anakuponza mazima wakati asali alikula yeye. Na sometimes wewe ulikuwa huhitaji ni kiherehere chake.
😅😅Anaongelewa nyoka mnyama.
 
Lengo la kufanya mafumbo ninini? Mtego ili watu wasielewe, wafanye yasiyopaswa kufanywa?


Ili mtu atumie akili yake barabara kwani pepo sio lelemama.-- no sweet without sweat.
 
K
Shetani tayari yupo kwenye adhabu maana alishushwa kutoka mbinguni. Ni sawa na leo umchukue majaliwa umpeleke pale kwenye viwanda vya MO awe anafanya kazi ya laki na nusu kwa mwezi. Ni adhabu tosha.
Kwahiyo kabla ya hapo shetani alikuwa kiti Cha enzi na mungu wanapiga soga
 
Tenga muda wako na tafuta kitabu cha biblical scholar profesa JAMES KUGEL wa harvad universty,:HOW TO READ THE BIBLE (A Guide to scripture then & now) nikipata muda nitakiwekaa!! Kiufupi adam & eva,nyoka ni hekaya, hadithi (soga,ngano,vigano,visasili,visakale na tarihi) tunaweza kusema.
 
Tenga muda wako na tafuta kitabu cha biblica scholar profesa JAMES KUGEL wa harvad unirvesty,:HOW TO READ THE BIBLE (A Guide to scripture then & now) nikipata muda nitakiwekaa!! Kiufupi adam & eva,nyoka ni hadithi ( soga,ngano,vigano,visasili,visakale na tarihi) tunaweza kusema.
Conclusion yako imeshaonesha hicho kitabu ni empty.
 
Apologist wengi ikifika katika hekaya kadha wa kadha za biblia( adam na eva,Nyoka,Yona,Samson,Sodoma na gomora,luttu, n.k)
Wanachukua mtazamo/tafakuri za PHILO OF ALEXINDRIA-Mwanafalsafa wa kiyahudi karne ya kwanza aliyeishi huko Egypt, bingwa wa allegory= bible stori,hekaya,hadithi.:

Utambiwa huyo hakuwa nyoka mbali mfanowe,na hii stori adam -eva na nyoka,Nyoka amekuwa last victim(mhanga mkubwa) Mwanzo 3:.14,sasa hukumu yake ya kutambaa kwa tumbo na kula mavumbi maisha yake yote na uadui na uzao wa eva imeleta shida kwao wamekuwa wakuuliwa hovyo,nyoka wengi hawana Sumu(80%):

Sasa fanya tafiti
JE,NYOKA HULA MAVUMBI..???

JIBU NI HAPANA,ALL SNAKE ARE CARNIVOROUS.
 
Back
Top Bottom