Kwanini Eva hakushtuka alipoanza kusemeshwa na nyoka pale bustani ya Eden?

Kwanini Eva hakushtuka alipoanza kusemeshwa na nyoka pale bustani ya Eden?

Hekaya ni Nyoka kuongea,, na Kula tunda halafu unakuwa Uchi...ilihali ni vitu visivyowezekana.
Hapo ni kitu gani kigumu kwa Mungu kufanya? Unless kama hauamini uwepo wa Mungu mwenye uwezo wote.
 
Hiyo ni fumba macho ila wajuzi wanasema mbususu ndo ilikuwa inawasha akampa msela akasugua na kukolea. Game over
 
Wewe unadhani alikuja kwenye umbile la nyoka
Sasa unadhani angekuja kwenye umbile la binadamu eva angeshangaa sana maana walikuwa binadamu wawili tuu Adam na Eva, sasa binadamu wa Tatu katokea wapi?
 
Nyoka na binadamu waliwahi zungumza wakaelewana haijawahi tokea maandishi ya kwenye vitabu vitakatifu ni fumbo ili kuelewa utulize akili.kumbuka chetani asili yake ni nyoka ila anauwezo kujibadilisha na kuwa kwenye muonekano wa binadamu.
Angeenda kama binadamu Eva angeshangaa binadamu huyu katoka wapi wakati walikuwa wawili tuu?
 
Hv kwa akili yako nyoka anaweza ongea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mungu alivyoyumba baada ya kumuadhibu shetani akamwambia nyoka ukose miguu usote kwa tumbo
 
Ni kwamba kipindi hicho wanyama walikuwa wanaongea au?

Kama sivyo, kwanini huyo bibi yetu hakushtuka na kukimbia kwa Adamu kuomba msaada?
Hakuwa nyoka kama tunavyo aminishwa alikuwa ni mwanamke alieumbwa pamoja na Adam na ndio maana kwenye maandiko adamu anasema nahuyu Sasa ndio nyama katika nyama zangu na mifupa katika mifupa yangu
IMG_20220507_152234.jpg
 
Hv kwa akili yako nyoka anaweza ongea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mungu alivyoyumba baada ya kumuadhibu shetani akamwambia nyoka ukose miguu usote kwa tumbo
Nyoka aliadhibiwa kwasababu aliruhusu shetani atumie mwili wake kuongea na Eva.
 
Hapo ni kitu gani kigumu kwa Mungu kufanya? Unless kama hauamini uwepo wa Mungu mwenye uwezo wote.

Una uhakika anaweza yote..

Kitu Mungu hawezi kukifanya ni kuacha kuwa Mungu...hili haliwezi... so hawezi yote.

....rudia kusoma tena.....
 
Biblia imeandika kweli tupu. Hapa tunajaribu kutafuta uhalisia wa kipindi hicho. Kwanini yule mama hakushtuka kusemeshwa na mnyama.
1. Hivi kama kweli wanyama walikuwa wakiongea kama binadamu kwenye biblia kuna mstari unaoeleza kukoma kwa uwezo wao wa kuongea?
2. Ni nyoka tu "mwerevu kuliko wanyama wote" ndiye alikuwa na uwezo wa kuongea au wanyama wote?
3. Hata wadudu kama sisimizi nao walikuwa na uwezo wa kuongea? Kwa udogo wake sisimizi sauti yake ilikuwa na ukubwa gani ili aweze kusikika?

Ila kiukweli kuna mengi katika imani zetu tusiyo na majibu yake.
 
Inawezekana kipindi kabla dhambi haijaingia ulimwenguni Adam na Eva walikuwa na uwezo wa kuwasiliana na wanyama kwa lugha zao.

Pengine baada ya dhambi uwezo huo ulikoma.
 
Back
Top Bottom