Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #81
Dhambi inakuwepo mahali palipo na free will.Nami aliumba dhambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhambi inakuwepo mahali palipo na free will.Nami aliumba dhambi
,Ni kwamba kipindi hicho wanyama walikuwa wanaongea au?
Kama sivyo, kwanini huyo bibi yetu hakushtuka na kukimbia kwa Adamu kuomba msaada?
Kaini alioa kwa naniInawezekana kipindi kabla dhambi haijaingia ulimwenguni Adam na Eva walikuwa na uwezo wa kuwasiliana na wanyama kwa lugha zao.
Pengine baada ya dhambi uwezo huo ulikoma.
Inatoka wapiDhambi inakuwepo mahali palipo na free will.
Dada yake. Miaka mingi baadae hata Abraham alioa dada yake, mama tofauti lakini baba mmoja. Haikuwa tatizo kipindi hicho.Kaini alioa kwa nani
Mfano ukioa mke na anayo free will, anaweza kukusaliti. Uwezo huo unatokana na ule uhuru wa maamuzi alionao.Inatoka wapi
Ibilisi ni jinni,katika umbo ambalo jinni hupenda kujiweka ili binaadam amuelewe ni umbo la nyika,yeah jinni anaweza kuongeaPale bustanini walikuwa watu wawili. Unadhani alikuja na umbo gani? Na kwanini Mungu alimhukumu nyoka kama hakuja na umbo la nyoka?
Kwa mujibu wa Qur'an huyo alikua ibilisi,ibilisi ni jinni,jinni ana uwezo wa kuongea na kujibadili,hakuna ajabu hapo1. Hivi kama kweli wanyama walikuwa wakiongea kama binadamu kwenye biblia kuna mstari unaoeleza kukoma kwa uwezo wao wa kuongea?
2. Ni nyoka tu "mwerevu kuliko wanyama wote" ndiye alikuwa na uwezo wa kuongea au wanyama wote?
3. Hata wadudu kama sisimizi nao walikuwa na uwezo wa kuongea? Kwa udogo wake sisimizi sauti yake ilikuwa na ukubwa gani ili aweze kusikika?
Ila kiukweli kuna mengi katika imani zetu tusiyo na majibu yake.
Matusi haya yote yanasababishwa na ndugu zetu wakristo wenyewe kwa kugeuziwa maandiko nao wakakubali kufuata. Ona sasa wakina zabron na wenzake wanavyojipatia points kwajili ya huo upotevu wenu.Bahati mbaya ni kwamba Adam na Hawa pamoja na nyoka walilaaniwa onthe sport lakini mr sheth akaachwa akipeta.
Shetani ni roho hivyo ili ajidhihirishe katika ulimwengu wa mwili(physical world) anahitaji physical body. Kwa pale bustanini aliamua kumwingia nyoka na kumtia werevu ili kutimiza azma yake. Ni kama ambavyo leo hii tunaona watu wakiingiwa na mapepo kisha mapepo hayo kunena kwa kutumia vinywa vya watu hao waliovamiwa.Ni kwamba kipindi hicho wanyama walikuwa wanaongea au?
Kama sivyo, kwanini huyo bibi yetu hakushtuka na kukimbia kwa Adamu kuomba msaada?
Mkuu nimekuelewa kwenye maelezo yako mengine ila swali hapa ni kwanini bibi yetu Eva hakushtuka alipoanza kusemeshwa na nyoka physically?Shetani ni roho hivyo ili ajidhihirishe katika ulimwengu wa mwili(physical world) anahitaji physical body. Kwa pale bustanini aliamua kumwingia nyoka na kumtia werevu ili kutimiza azma yake. Ni kama ambavyo leo hii tunaona watu wakiingiwa na mapepo kisha mapepo hayo kunena kwa kutumia vinywa vya watu hao waliovamiwa.
Ifahamike kwamba kila chenye mwili kina roho ndani yake. Hivyo siku zote mwili ni container la roho.
Mti wa katikati(wa ujuzi wa mema na mabaya) uliwekwa ili;
1.Kuwapa Adam na Hawa uhuru wa kuonesha commitment yao kwa Mungu(Kumbuka Mungu anapenda kutumikiwa kwa hiyari siyo shuruti) na ili kuthibitisha hili basi Mungu hata leo hii huwapa watu wake conditions(masharti) kadha wa kadha ili kuwapa fursa ya kuonesha utii na upendo wao kwake.
2. Mti ule uliwekwa kama ishara ya kimwili inayoashiria kwamba katika ulimwengu wa roho(ulimwengu ambao Adam na Hawa hawauoni ingawa upo) kuna tawala mbili kinzani yaani utawala wa mema(Mungu) na utawala wa mabaya(Shetani) na kwamba kila utawala unafanya kampeni juu yao ili waishi kwa kutumikia kusudi lake. Hivyo wanapaswa kuishi wakilitambua hilo na kuchukua tahadhari.
ZINGATIA: Kuwapa watu wake masharti ni utamaduni wa Mungu tangu vizazi na vizazi. Ukiacha Adama na Hawa kupewa amri ya kutokula matunda ya mti wa katikati ya bustani,Samsoni aliambiwa asinyoe nywele zake,Maria aliambiwa asinywe kilevi n.k. Dhumuni kuu likiwa ni kuweka nidhamu ya kumfanya muhusika atimize mapenzi ya Mungu kama Mungu atakavyo lakini pia kumpa fursa ya kuonesha utii na upendo wake kwa Mungu ambayo ni haki ya msingi ya katiba ya Mbinguni.
Furaha na Raha ya maisha ipo kwenye UHURU wa kuchagua ingawa kuna kubeba na kulipia gharama ya machaguo yetu.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Putin kuamua kuishambulia Ukraine hakukurupuka alianza kwanza kwa kukusanya taarifa muhimu kuhusu Ukraine ikiwemo nguvu na madhaifu yake vivyo hivyo shetani akitaka kuvamia mtu,ndoa,familia,ukoo n.k huwa hakurupuki. Anakusanya taarifa muhimu kwanza ili kumsaidia kuandaa SILAHA na MBINU muafaka kabla hajavamia na kushambulia.Mkuu nimekuelewa kwenye maelezo yako mengine ila swali hapa ni kwanini bibi yetu Eva hakushtuka alipoanza kusemeshwa na nyoka physically?
Okay nashukuru sana mkuu, nimekuelewa.Putin kuamua kuishambulia Ukraine hakukurupuka alianza kwanza kwa kukusanya taarifa muhimu kuhusu Ukraine ikiwemo nguvu na madhaifu yake vivyo hivyo shetani akitaka kuvamia mtu,ndoa,familia,ukoo n.k huwa hakurupuki. Anakusanya taarifa muhimu kwanza ili kumsaidia kuandaa SILAHA na MBINU muafaka kabla hajavamia na kushambulia.
Alipoujua udhaifu wa Hawa kwamba hana uwezo wa kusimamia msimamo wake consistently hadi apewe back up ya mumewe ndio maana akamvizia akiwa peke yake na kumrubuni. Umewahi kujiuliza kwa nini hakumwendea Adam?.
Hata leo hii haka ni kamchezo ambako shetani anakatumia kunasa watu wengi sana. POINTS OF STRENGTHS AND WEAKNESSES. Alijua STRENGTHS na WEAKNESSES za wote wawili na akaona mlango wa kuingilia ni Hawa.
Vita ni mchezo wa Timing.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
ThibitishaDada yake. Miaka mingi baadae hata Abraham alioa dada yake, mama tofauti lakini baba mmoja. Haikuwa tatizo kipindi hicho.
Angeshtukaje wakati kwa asili anapenda kuambiwa maneno na ahadi tamu tamu?. Ni kiumbe anayeishi kwa hisia na sio kuishi kwa kutafakari.Mkuu nimekuelewa kwenye maelezo yako mengine ila swali hapa ni kwanini bibi yetu Eva hakushtuka alipoanza kusemeshwa na nyoka physically?