Kwanini familia ya Kikwete inapendekeza mishahara kwa wake wa viongozi wakati tayari wengi wao wako serikalini?

Majizi
 
Huyo nimwalimu wetu mbuyuni hapo Zamani.
Niliona akigombea ubunge baada ya kuwa mke wa rais mstaafu nikashangaa.
Then kuja kwa hii hoja toka kwake nikasikitika.
 
Huyo nyerere hakuna anaweza kwepa lawama za nchii, kila kitu kilioriginate kutoka kwake
Aliyabaini makosa yake na kuwaambia mchukue mazuri na mabaya myaache.Mpaka leo mmeshindwa kuyaacha/kuyaondoa mnayoyaona ni mabaya?
 
Mama kikwete ana roho mbaya Sana. Nilidhani angewapigania waalimu waongozewe mshahara yeye kajiangalia mwenyewe na wenzake waliopo jikoni.
Huoni roho mbaya za wabunge waliojeongezea mishahara ila umeiona ya Salma tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…