Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Huu ndio ulimbukeni sasanina sista angu mmoja huya ana house girl na hana kazi yoyote ye kulala tu na kwenda viwanja kazi zote anafanya house girl. mtoto wake wa kike naye amekua hata kujifulia hafui house girl atafua
Nimekuwa nikitafakari kwa muda sasa.
Kwanini familia za waafrika bila dada wa kazi au housegirl mambo hayaendi?
Mke atalalamika, nyumba itakuwa chafu, chakula hakitaiva kwa wakati yaani mambo yote yatakuwa vurumai.
Lakini ukiangalia wenzetu walioendelea familia nyingi ni baba,mama na watoto na wote wanajituma katika majukumu yao.
Ni familia chache za matajiri sana wenye mansions ndio utakuta kuna maids.
Je ni uvivu?
Je ni kwasababu wanapatikana kwa bei chee?
Ni tabia zetu tu kupenda ubwanyenye?
Je ni uvivu?Mashine za nguo zimeanza lini? Sasa nei ya sufuria na mshahara wa house girl si bora kununua sufuria?
Mwishoni mwa Uzi wako umeuliza
Je ni uvivu?
Ndo jibu linakuwa sio uvivu Bali uwezo wetu Dunia kwakuwa tunategemea mkaa kupika chakula pia tunatumia masufuria dhaifu na kufua nguo kwa mkono.
Pia hawafui nguo kwa mikono,
Kwa nini tunawahitaji?
Chukulia mfano, una mtoto wa mwaka mmoja, mama na baba kazini. Mtoto atabaki na nani?
Mwingingine ni uduwanzi tu
Imagine nmetoka kuoa tu na tuna miezi mitatu tu kwenye ndoa , maisha bado vurugu vurugu yan hadi bado madeni mengine ya harusi hatuja clear... Halafu wife analilia mfanya kazi na yeye ni mama wa nyumbani.. Kidume nkakaza kwamba hapana hiyo kitu haiwezekani hilo wazo la mfanya kazi lifte kabisa... Mara ghafla mtu hodi mlangoni na mashangazi kaja mawili safari ya kuvuka mikoa mitatu na nauli kalipiwa na dada ake wife yani shemeji angu... Haloo huyu binti anapiga kazi balaa... Ataamka mapema atafanya usafi, atapika chai mapema, maji anafata, chakula anapika kwa wakati japo quality inapungua ukilinganisha na anavyopika wife... yani hapa nawaza nmtimue yeye au nmtimue wife Na ni lazima mmoja atimkie mbali fumbafu
Kwahiyo unataka historia ya gesi na umeme?Gesi na umeme vimeanza kutumika lini? Kabla ya hapo hao wazungu walikuwa na housegirl?
Hawajui kama kugegeda ni haki ya msingiMiafrika tuna roho mbaya sana....alafu ontop lf that tunawanyima watoto wa watu hadi haki yao ya kugegedwa
Kabisa...mwanmke lazima agegedweHawajui kama kugegeda ni haki ya msingi
Elfu hamsini alaf maza house hampi yote anaambiwa anawekewa siku ya kuondoka anapewa yote ππππUlaya ukitaka maid unamlipa mshahara kama mfanyakazi wa serikali au sekta binafsi ana haki zote Hadi mafao,..so wachache wanamudu kuwaajiri...sio kama huku kwetu unamtupia ka hamsini flani kwa mwezi..
na wakitoka asubuhi wanapakia watoto wanawaacha shule au basi linawachukukua na kuwarudisha.Hizo familia zilizoendelea hawatumii mkaa kupika Wala masufuria dhaifu ya aluminum yanayopoteza mvuke.
Pia hawafui nguo kwa mikono, Wala hawaendi umbali mrefu kutafuta maji.
Mashine za kufua mbona zipo mda tuMashine za nguo zimeanza lini? Sasa nei ya sufuria na mshahara wa house girl si bora kununua sufuria?
Huku huo ni mshahara wa miezi 10.Mashine ya kufua ni laki 5 - mishahara ya miezi 5 ya house girl. Kwa nini usinunue?