[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulaya ukitaka maid unamlipa mshahara kama mfanyakazi wa serikali au sekta binafsi ana haki zote Hadi mafao,..so wachache wanamudu kuwaajiri...sio kama huku kwetu unamtupia ka hamsini flani kwa mwezi..
Ndo maana wengi wanaokotwa huku, kupelekwa huko lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabla hujaajiri mfanya kazi wa ndani Ulaya ni lazima uthibitishe una uwezo wa kumlipa kima cha chini na mshahara, utampa malipo yake kama kawaida akiwa mgonjwa, utampa likizo ya mwezi mmoja kwa mwaka yenye malipo. Shift itakua masaa nane na zaidi ya hapo umlipe over time. Atafanya kazi siku tano kwa wiki na weekend na usiku malipo yanaongezeka kwakua anafanya untisocial hours.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nina sista angu mmoja huya ana house girl na hana kazi yoyote ye kulala tu na kwenda viwanja kazi zote anafanya house girl. mtoto wake wa kike naye amekua hata kujifulia hafui house girl atafua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulaya baba anapika mama anafanya shughuli nyingine. Huku sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nna ndugu yangu aliendaga huko majuu yee hanaga mfanya kazi akarudi TZ na ujuzi wa kupika msosi wa wiki nzima alafu unapaki kwenye vicontena vdogovdogo then unagandisha mkitaka kula mnakitoa kimoja kama ni cha maharage na kingine cha nyama then kazi ni kusonga tuu ugali ama kupika wali.
Sasa Cha ajabu ndugu wa mume wakienda pale wanalalamika etii kaka Yao analishwa vipolo[emoji2]wakati mwanamke ni mtu busy sana Hana mda wa kupika l.
Isitoshe familia zetu watu weusi kazi za nyumban zote ni zamama usishangae mkarudi kazin wote Satatu usiku baba akanyosha miguu seblen mama ukaanza kuhangaika na majiko mawilimawili kama upo na mlemavu umo ndani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nchi zilizoendelea MTU anayeweza kumlipa housegirl ni wale mafogo aka matajir wakubwa. Kule HYo ni Kazi rasmi Kabsa na unalipa pesa za kutosha. Sio Kama huku uyaya unalipa 50000 na Bado unamsimamanga
Ni child labor mkuu, na mshahara haukidhi mahitaji, na wengine wana roho za ukatili sana kwa hawa watoto wanaofanya kazi za nyumbani.Mwisho tunawatesa watoto wa watu. Hivi kwanza hii sio child labour?
Ni child labor mkuu, na mshahara haukidhi mahitaji, na wengine wana roho za ukatili sana kwa hawa watoto wanaofanya kazi za nyumbani.
Unajua tatizo kubwa hapo linaanzia kwenye mfumo wa haki za binadamu huku Tanzania. Huku bado hatujastaaribika vizuri hatujaanza kuzingatia haki za binadamu bado.Na bado hawapewi ontime kwa kigezo wanatunziwa
Nna ndugu yangu aliendaga huko majuu yee hanaga mfanya kazi akarudi TZ na ujuzi wa kupika msosi wa wiki nzima alafu unapaki kwenye vicontena vdogovdogo then unagandisha mkitaka kula mnakitoa kimoja kama ni cha maharage na kingine cha nyama then kazi ni kusonga tuu ugali ama kupika wali.
Sasa Cha ajabu ndugu wa mume wakienda pale wanalalamika etii kaka Yao analishwa vipolo[emoji2]wakati mwanamke ni mtu busy sana Hana mda wa kupika l.
Isitoshe familia zetu watu weusi kazi za nyumban zote ni zamama usishangae mkarudi kazin wote Satatu usiku baba akanyosha miguu seblen mama ukaanza kuhangaika na majiko mawilimawili kama upo na mlemavu umo ndani.
PointUlaya ukitaka maid unamlipa mshahara kama mfanyakazi wa serikali au sekta binafsi ana haki zote Hadi mafao,..so wachache wanamudu kuwaajiri...sio kama huku kwetu unamtupia ka hamsini flani kwa mwezi..
Aroo huyo Neema nampataje?Namkumbuka housigelo wa mjomba enzi hizo
Anaitwa Neema alikuwa na tako huyo sio mchezo na alikuwa anapenda kunyoa Denge
Ilifikia kipindi picha haziendi na shangazi
Bila shaka mi na mjomba na binamu yangu sudi tutakuwa tumekula pale
Hivi nikienda na Hg wangu Iringa nikaenda nae huko kimyakimya watanitaka kumlipa hivyo pia?Kabla hujaajiri mfanya kazi wa ndani Ulaya ni lazima uthibitishe una uwezo wa kumlipa kima cha chini na mshahara, utampa malipo yake kama kawaida akiwa mgonjwa, utampa likizo ya mwezi mmoja kwa mwaka yenye malipo.
Shift itakua masaa nane na zaidi ya hapo umlipe over time. Atafanya kazi siku tano kwa wiki na weekend na usiku malipo yanaongezeka kwakua anafanya untisocial hours.
Atakua na kibali gani cha kuishi nchini? Wajanja wakimuelimisha akienda police na kusema anatumikishwa kazi za ndani, atapewa vibali vyote na wewe kushtakiwa kuwa human trafficking na enslaving.Hivi nikienda na Hg wangu Iringa nikaenda nae huko kimyakimya watanitaka kumlipa hivyo pia?
Kwakweli huyo ni mvivu..mkiwa wawili raha sana..mi nakumbuka nilileta hosuegal baada ya miaka 2..napo nilitafuta nikiwa na mimba ya miezi 8...sababu nilikua lzm nipate mtu wa kunisaidia..isingekua mimba aaaah ningebaki na mr mpkaaa....Kwa kweli wife ambaye ni mama wa nyumbani ambaye hana mtoto wala siyo mjamzito, kutaka msaidizi ni uvivu tu. Halafu ndoa mwanzoni inapendeza mkiwa wawili tu nyumbani. Hiyo ya kuoa kwenye honeymoon tayari mko 3-5 nyumbani inakosesha raha ndoa.
Unajua tatizo kubwa hapo linaanzia kwenye mfumo wa haki za binadamu huku Tanzania. Huku bado hatujastaaribika vizuri hatujaanza kuzingatia haki za binadamu bado.