Kwanini familia za nchi zilizoendelea hazina wasaidizi wa kazi za nyumbani (house girls)?


Kuna privacy flani hivi
 

Wabongo mabepari sana
 
Vyombo - Wash disher ipo...
Nguo - Washing mashine ipo...
Sakafu na carpert - Vacum cleaner ipo...
Garden - lawn mower ipo...
Sokini / kazini / shuleni - Private trasport ipo...
Chakula - Rice cooker, na vipikia vyote vipo...

Mdada wa kazi wa nini?

Kuna mtu anasukuma range kali unasema hana uwezo wa kununua hivyo? Lakini bado ana beki tatu na anampunja mshahara
 

Hao ndugu next time unawalipia gesti siku mbili wakikaa zaidi watalipia wenyewe. Hakuna kulala home,wanapiga story tu usiku gesti..
 
Una dish washer?,washing machine?jiko la gesi au umeme?lawn mower je?vacuum cleaner je?
Maji full time?

Africa shida vifaa tu
Na mnakula sn
Dinner mle ugali samaki wa nazi
Salad tu hamuwezi

Tunaweka dada cz its cheap na km una watoto ni lazima..kuna baby sitter bongo?
 
Ulaya na Marekani wanafuata sheria sana.Unapomuajiri housegirl unatakiwa umpe mkataba ndani ya mkataba umuwekee NSSF yake matibabu na mambo mengi tu sawa na mtu aliyeko kwenye ajira.Sasa kutokana na hili ndo maana ulaya wanakuwa na kigugumizi sana kuajiri mfanya kazi wa ndani maana ni gharama sana ila kinachofanyika kama una mtoto mdogo unampeleka home day care centre unakwenda job jioni unampitia.Huku kwetu kuna chama cha watu wanaofanya kazi za majumbani lakini hakina nguvu wala meno ya kung'ata kwasababu kwanza housegirl wenyewe hawana elimu hivyo hawajui haki zao.Pili serikali yenyewe inafumbia macho sababu hata hao wakubwa wa serikalini ambao ingekuwa wapitishe sheria hii ya kuwalinda nao wana ma housegirl hivo wanajua na wenyewe mtego utawanasa.
Wenzetu mfano Marekani jirani yako anaweza sikia mtoto analia sana akaenda polisi kusema nendeni pale kuna kitu hakiko sawa au anakwenda kukushitaki jogoo wako anawasumbua asubuhi au unafungulia mziki sauti kubwa.
Ndio maana tunawaambiaga Africa bado tuko bustani ya EDEN.
 
Nchi za watu iyo ni ajira rasmi kama huna ela huwezi kuwa na maids ila kwetu huku tunawachukulia poa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…