Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
Moja kati ya watu niliofurahia kusikia wanasajiliwa Yanga ni Faridi Musa. Ila nashangaa toka ligi ianze amecheza mechi moja tu. Mechi zingine zote haonekani hata benchi. Je, anashida gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa majeruhiMoja kati ya watu niliofurahia kusikia wanasajiliwa Yanga ni Faridi Musa. Ila nashangaa toka ligi ianze amecheza mechi moja tu. Mechi zingine zote haonekani hata benchi. Je, anashida gani?
Duuuu!Awezi kucheza alifanyiwa opareshen ya kuondolewa busha.pumbu ziliaza kuumuka kama andazi la Shishi beibeee.